Daniel Abed Shauri
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 259
- 169
Wizara ya mambo ya ndani,, na makonda wameandaa picha la kihindi.
Hii ishu sasa inachosha, kila mtu anaongea lake anyway labda mahakamani ukweli utajulikana.
Kabla hata Nondo hajaongea, tayari teknolojia imetuambia ukweli.Labda tungemsikia na nondo akieleza ndio tutajua nani mkweli
Ndo tatizo la kufanya kazi kwa maelekezoBonge la aibu, inamaana Mambosasa hakuangalia hata video clip ya RPC wa Iringa??? Kajiaibisha sana huyu jamaa...na hii ndiyo inathibitisha dogo alitekwa ila wanajaribu kumgeuzia kibao.
Umeangalia hiyo video?Zitto anamtetea wa Buzeba zeba Mwenzie
Watu wa Kigoma wanapenda sana Kick na nimejulishwa kuwa na Hako Katoto kanatokea kwny Mpaka wa Nchi yetu na Congo
Hapana sijaangalia nimetazamaUmeangalia hiyo video?
Kuna mpenda kiki kama jiwe?Zitto anamtetea wa Buzeba zeba Mwenzie
Watu wa Kigoma wanapenda sana Kick na nimejulishwa kuwa na Hako Katoto kanatokea kwny Mpaka wa Nchi yetu na Congo
UVCCM teknolojia imewaumbua.Zitto anamtetea wa Buzeba zeba Mwenzie
Watu wa Kigoma wanapenda sana Kick na nimejulishwa kuwa na Hako Katoto kanatokea kwny Mpaka wa Nchi yetu na Congo
UVCCM teknolojia imewaumbua.
Sinema hii policcm mmebaki uchi hatakama huyu Nondo akiwa ni raiya wa China.
Mungu anazidi kuwaumbua. Yaan na ww huoni uongo wa huyo RPC?Zitto anamtetea wa Buzeba zeba Mwenzie
Watu wa Kigoma wanapenda sana Kick na nimejulishwa kuwa na Hako Katoto kanatokea kwny Mpaka wa Nchi yetu na Congo