Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo

Cute Wife

Senior Member
Nov 17, 2023
124
306
"Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la CHADEMA! Yeye ni Makamu Mwenyekiti, kiongozi mkubwa kabisa, mtu hawezi kujialika, kwahiyo walimualika wenyewe.

"Na walimualika kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia, mzalendo, anaipedna nchi yake, angependa amani na utulivu, kwahiyo wakathibitisha kwamba huyu ni mtu mzuri tumualike kuwaonesha wananchi, shida iko wapi kuwa na picha? Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Mabango hayo kwani hayo mambo yanafanyika kwa gizani? Yanatoka matamko kutoka kwa Mbowe, Tundu Lissu, kila mmoja amemfurahia Samia, leo tumepiga picha anataka picha zitoke kwani kulikuwa na jambo la siri? Suala sio matangazo ni kuthibitisha dhamira nzuri ya Rais."-
Amesema Amos Makalla akijibu kuhusu suala la Lissu kutaka picha zake ziondolewa kwenye mabango yaliyomhusisha na Rias Samia

"
 
View attachment 2983585
"

Niliangalia live chadema imeshikwa papaya
 
Huyo jamaa awe na data kabla hajaropoka asifikirie yupo kwenye majukwaa ya muziki wa dansi!! Arusha lile bango la samia na Chadema baada tu ya Nduruma juzi wamelitoa!!
 
Waliokuwa na shughuli wamepotezea iweje upande wa pili wayatandaze nchi nzima?
 
Si waliridhiana? Si walisema never never never?

Uchu wa madaraka na mihemeko ya uharakati ya Viongozi wa CHADEMA una wa cost sana WANACHADEMA, na hatimaye Nchi nzima kwa jinsi wanavyojenga mazingira ya Uhasama.

Madhara yake tumeyaona na yanakuwa wazi kila kukicha. Ile Never Never again ilikuwa na maana gani-pana?
 
Lissu anayumbisha sana Chadema,maneno mengi mwishowe wanaingia kwenye mtego wa ccm,haendi na siasa za kileo apunguze mihemuko na harakati.
 
"Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la CHADEMA! Yeye ni Makamu Mwenyekiti, kiongozi mkubwa kabisa, mtu hawezi kujialika, kwahiyo walimualika wenyewe.

"Na walimualika kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia, mzalendo, anaipedna nchi yake, angependa amani na utulivu, kwahiyo wakathibitisha kwamba huyu ni mtu mzuri tumualike kuwaonesha wananchi, shida iko wapi kuwa na picha? Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Mabango hayo kwani hayo mambo yanafanyika kwa gizani? Yanatoka matamko kutoka kwa Mbowe, Tundu Lissu, kila mmoja amemfurahia Samia, leo tumepiga picha anataka picha zitoke kwani kulikuwa na jambo la siri? Suala sio matangazo ni kuthibitisha dhamira nzuri ya Rais."-
Amesema Amos Makalla akijibu kuhusu suala la Lissu kutaka picha zake ziondolewa kwenye mabango yaliyomhusisha na Rias Samia

View attachment 2983585
"
Amos makala, maelezo Yako unaongea kama wewe ni WA nchi jirani.
 
Nadhani kuna changamoto kidogo, kwamba nikikualika tu najikuta kwenye mabango ya biashara barabarani.
 
Lissu anayumbisha sana Chadema,maneno mengi mwishowe wanaingia kwenye mtego wa ccm,haendi na siasa za kileo apunguze mihemuko na harakati.
Lissu mtakija kumkumbuka .
KI A imeuzwa, bandari zinauzwa, madini yanauzwa, viwanja vya ndege vinauzwa,misitu inauzwa, SGR itauzwa.
Huku bara tutakuja kubaki walalahoi.
Hapo ndipi mtajuta.
Ccm wanaishi kama nchi sio Yao na hawafikiri next generation itaishije.
 
Back
Top Bottom