Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

M
Wapo KIKWETE wanautafuta was nne kwa spidi ya hatar.... Na hata dalili hamna
Mmmh aiseeeh, ni hatari sana.Kuna afande aliniambia kwamba kuna maservice men walikuwa JKT kwa miaka mitano, walikuwa RTS kihangaiko.Kumbe inaelekea ni kweli maana nilidhani ananidanganya.Sasa, hata vikosi Vya ulinzi na usalama vikiwa vinakuja JKT kutafuta kuruti, si wanaokuwa wamekaa miaka mingi wanakuwa wamekosa sifa ya umri kwenda huko vikosini au wanachukyliwa hivyo hivyo tuu ?
 
Sa ivi Hali si shwari JKT.... Na ilivyo ni Kama daladala hawakawii kuchukua watu mwaka huu
 
Sasa stress za nn Kaka zao si wangeshakufa bado wanakomaa mpka leooo miaka 4.
Wakomae tu mi nawalilia JK kiukweli n wanaume.
Jkt ya Sasa Bora ulime mchocha home tu ndugu zangu.
Uko sahihi ,,watu wana mengi moyon ngoja tukae kimya tu
 
Hivi wale wanaokuwa kwenye "combat karate" huku range walipiga vizuri, na wamekuwa na nidhamu kwa makamanda nao huwa wanakosa nafasi JWTZ ? Sasa anaajiriwa yupi jamani tofauti na wenye fani kama udaktari, urubani na uinjinia na wenye pesa ya kuhonga ? Ni anayepata shavu jeshini ? Au umri ni shida ? Hatari kweli nchi yetu hii utafikiri tulizaliwa kwa bahati mbaya ? Chenga sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom