Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hakuna Shida

Hilo Swala Dogo Sana

Shida Ipo Ktk Damu

Afu Acha Kujistukizia Ktk kambi

Usije Enda Kila Mtu Unamwambia Swala Lako Kaaa Kimya

Jione Wee ni Wakawaida Tuu

Kuna Dada Anawatoto 2 Huku Mtaani

Nw Ni Polis Na aneingia Tayari Ana watoto Sio Kawapatia Jeshin Hapana

Kawapata Uraian ndio Kaenda Depo

Usiniulize Depo Alipigaje

Ndio Mana Nakwambia Wee Jione Wa

kawaida
✍✍✍✍✍
 
Nawatakia safari njema wazalendo wote wanaotarajia kwenda makambini napenda tu kuwakumbusha suala la kuchunga na kulinda damu cuz kila hatua utakayokuwa unaenda ni lazima damu ipimwe, so njia pekee ni kutokumwamini mtu yyte katika safari hii ya kuelekea yale mliyoyakusudia
 
Kila la kheri, kumbuka nidhamu is everything to a soldier, kuwaheshimu maafande wako regardless of your literacy level ni silaha kuu katika kumaliza mafunzo yako. Usije ukaingia jeshini kwa kujaribu, jeshi litakushinda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom