Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

we jibu kama mtu hanaejielewa basi mbona hunakua kama mtoto au ndio tukuone mjanja hunajua kuandika nn acha ujinga ukiona huwez kujibu acha sio unadhiirisha akili zako fyatu mbele za watu
 
we jibu kama mtu hanaejielewa basi mbona hunakua kama mtoto au ndio tukuone mjanja hunajua kuandika nn acha ujinga ukiona huwez kujibu acha sio unadhiirisha akili zako fyatu mbele za watu
Mbona povu ndugu tunadaiana akili zangu fyatu ziakuuma nini hebu meza paracetamol ulale
 
hiv kuna mda mnaachiwa kwenda hata mjin hiv kununua vitu

Ipo siku huwa mnaachiwa mwende mjini mkapunguze uzito( mkafanye mapenzi) na kufanya shopping ndogo ndogo

Siku ya pass hiyo ila inategemea na akili ya mkuu wa kikosi na afande CI wake

Nakumbuka sisi pass tulibaniwa kabisa kwa hiyo tulikua tunasimamisha mnazi usawa wa kombania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom