Madudu ukaguzi maalum wa CAG upande wa REA 2015-2020

wanzagitalewa

Senior Member
Jan 25, 2018
128
84
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020.

Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (Sida).

Kwamba Machi 2016, Tanzania na Sida waliingia mkataba wa ufadhili wa kutandaza umeme vijijini. Fedha zilitoka SEK 600 milioni (Sh133 bilioni).

Uzembe wa kuchelewa kupakua malighafi Bandari ya Dar, ulisababisha REA watumie Sh775.76 milioni kulipa tozo ya uchelewaji (demurrage charge). Fedha za ufadhili zikatumika ndivyo sivyo kwa uzembe.

CAG amebaini kuwa transfoma zilizofungwa uwezo wake ni 50KV, wakati bajeti ilikuwa 100KV. Fedha za wafadhili zilipigwa cha juu.

Upembuzi yakinifu haukufanyika. Hata udongo haukupimwa. Nguzo zimewekwa pasipo vipimo. Pesa ya upembuzi yakinifu (feasibility study), imepigwa.

Wateja 51,425 tu kati ya 98,689 walioomba kuunganishiwa umeme, ndio wameungabishiwa. Hiyo ni sawa na asilimia 52.1.

CAG ameandika; nyaraka za Sida zinaonesha REA walitakiwa kusambaza umeme kwenye nyumba 86,000, hivyo kuhudumia watu 430,000 kupitia gridi ndogo (Green Min and Micro Grid). Wameishia nyumba 17,302, yaani asilimia 20.

Uzembe wa kutohuisha taarifa za utafiti wa mradi, ulisababisha REA kuingia gharama za ziada Sh160 milioni.

Kuna jumla ya Sh5.94 bilioni, ambazo REA wamekuwa wakizitenga kama bajeti ya matangazo na elimu lakini hakuna maelezo ya zilivyotumika.

Mwaka 2018/2019, REA walitengeneza bajeti ya kununua transfoma na kuunganishia wateja umeme Sh254.8 bilioni. CAG akagundua, gharama halisi ilikuwa Sh117 bilioni. Kwa hiyo kulikuwa na udanganyifu wa Sh137.8 bilioni. Ufisadi.

Lingine, REA wilitumia Sh125.57 milioni, kununua transfoma 12 zilizo chini ya kiwango.

Siasa zikaingia. Tozo ya umeme kwa mwezi ikapitishwa Sh11,000. Serikali ikasema tozo Sh1,000. Gharama za uendeshaji zikawa kubwa kuliko mapato. Umeme ukazima vijijini.

Sehemu kubwa, CAG ameeleza tatizo la uchelewaji. Miradi ambayo ilipaswa kukamilika mwaka 2019/2020, mpaka sasa bado.

Hayo yalitokea Waziri wa Nishati akiwa Kalemani, aliyempokea Simbachawene kutoka kwa Muhongo. Rais simtaji. Hamkawii kusema namchukia John.

Ndimi Luqman MALOTO
 
Hapa ndio Kalemani na JPM walikuwa wanaiba kwa pamoja.

Baada tu ya JPM kuingia madarakani, watu wake wa karibu hasa wa Chato, waliingia wazimu wa kufurumusha maghorofa katika wilaya ya Chato na pengine nchini. JPM akajenga lami kuelekea katika nyumba yake pale Nyamanoro mwanza, akanunua jengo pale mwanza karibu na roundabout, akajenga ghorofa kubwa sana pale mwanza.

Dotto James akawatoa wazazi wake katika nyumba za ginnery ambayo ilikuwa na zizi la n'gombe, akawajengea ghorofa kubwa sana la kutisha.

Kalemani ndio usiseme, Dar, mwanza na kwingine amejaza majumba.
 
Hivi wewe una akili kweli!
 
Hii nchi inachezewa sana
Yatakiwa watolewe mfano watu kama 1000 hivi, wataofata watajirekebisha
 
Sheria mpitishwe mtumishi ukuhusika kwenye kusababisha hasara kwa shirika aua taasisi ya serikali apigwe 25 years

Apewe na heka zake kabisa afanye production huko gerezani. Huku tuki endelea kuuza possession ya mali zake
 
Waungwana,
Naomba mwenye taarifa nzima ya CAG aliyoitoa kwa kiswahili mara baada ya kuwasilisha Bungeni.
 
Hapa ndio Kalemani na JPM walikuwa wanaiba kwa pamoja.

Baada tu ya JPM kuingia madarakani, watu wake wa karibu hasa wa Chato, waliingia wazimu wa kufurumusha maghorofa katika wilaya ya Chato na pengine nchini. JPM akajenga lami kuelekea katika nyumba yake pale Nyamanoro mwanza, akanunua jengo pale mwanza karibu na roundabout, akajenga ghorofa kubwa sana pale mwanza.

Dotto James akawatoa wazazi wake katika nyumba za ginnery ambayo ilikuwa na zizi la n'gombe, akawajengea ghorofa kubwa sana la kutisha.

Kalemani ndio usiseme, Dar, mwanza na kwingine amejaza majumba.
Katika miaka 6 ya Magufuli amesambaza vijiji vingi na umeme wa bei nafuu kuliko marais wote tanganyika mpaka nyumba za nyasi ziliwekewa umeme, wakati kabla ya Magufuli ulikuwa ukiwasha umeme unaoneka bonge la tajiri, Sasahivi tumerudi kulekule kama una kuanzia sh,350,000 hauwezi pata umeme kutoka elfu 29.Magufuli amuwezi kimchafua kizembezembe kazi zake alizozifanya bado zinamtangaza, kipindi cha Magufuli hadi dawasco walikuwa unafungiwa maji bure unaanza kulipa taratibu, Sasahivi kajaribu uone.Magufuli hata hatungiwe riport namna hipi tulioshudia tawala zilizopita hatuelewi hayo maripoti.
 
Soma taarifa hiyo, alisambaza transfoma substandard ambazo watu wakiwasha umeme inazidiwa inajizima, nguzo zilikuwa kama fimbo ya mwalimu shuleni, hazina viwango
 
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020.

Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (Sida).

Kwamba Machi 2016, Tanzania na Sida waliingia mkataba wa ufadhili wa kutandaza umeme vijijini. Fedha zilitoka SEK 600 milioni (Sh133 bilioni).

Uzembe wa kuchelewa kupakua malighafi Bandari ya Dar, ulisababisha REA watumie Sh775.76 milioni kulipa tozo ya uchelewaji (demurrage charge). Fedha za ufadhili zikatumika ndivyo sivyo kwa uzembe.

CAG amebaini kuwa transfoma zilizofungwa uwezo wake ni 50KV, wakati bajeti ilikuwa 100KV. Fedha za wafadhili zilipigwa cha juu.

Upembuzi yakinifu haukufanyika. Hata udongo haukupimwa. Nguzo zimewekwa pasipo vipimo. Pesa ya upembuzi yakinifu (feasibility study), imepigwa.

Wateja 51,425 tu kati ya 98,689 walioomba kuunganishiwa umeme, ndio wameungabishiwa. Hiyo ni sawa na asilimia 52.1.

CAG ameandika; nyaraka za Sida zinaonesha REA walitakiwa kusambaza umeme kwenye nyumba 86,000, hivyo kuhudumia watu 430,000 kupitia gridi ndogo (Green Min and Micro Grid). Wameishia nyumba 17,302, yaani asilimia 20.

Uzembe wa kutohuisha taarifa za utafiti wa mradi, ulisababisha REA kuingia gharama za ziada Sh160 milioni.

Kuna jumla ya Sh5.94 bilioni, ambazo REA wamekuwa wakizitenga kama bajeti ya matangazo na elimu lakini hakuna maelezo ya zilivyotumika.

Mwaka 2018/2019, REA walitengeneza bajeti ya kununua transfoma na kuunganishia wateja umeme Sh254.8 bilioni. CAG akagundua, gharama halisi ilikuwa Sh117 bilioni. Kwa hiyo kulikuwa na udanganyifu wa Sh137.8 bilioni. Ufisadi.

Lingine, REA wilitumia Sh125.57 milioni, kununua transfoma 12 zilizo chini ya kiwango.

Siasa zikaingia. Tozo ya umeme kwa mwezi ikapitishwa Sh11,000. Serikali ikasema tozo Sh1,000. Gharama za uendeshaji zikawa kubwa kuliko mapato. Umeme ukazima vijijini.

Sehemu kubwa, CAG ameeleza tatizo la uchelewaji. Miradi ambayo ilipaswa kukamilika mwaka 2019/2020, mpaka sasa bado.

Hayo yalitokea Waziri wa Nishati akiwa Kalemani, aliyempokea Simbachawene kutoka kwa Muhongo. Rais simtaji. Hamkawii kusema namchukia John.

Ndimi Luqman MALOTO
Kweli nchi imejaa upumbavu wa hali ya juu tunajadili report ya 2021/2022,wewe unapiga kaunta ataki ya kingese hivi, endeleeni kutumika, watanzania hawatadanganyika tena
 
Soma taarifa hiyo, alisambaza transfoma substandard ambazo watu wakiwasha umeme inazidiwa inajizima, nguzo zilikuwa kama fimbo ya mwalimu shuleni, hazina viwango
Nguzo zipi hazina viwango!hizi za Zege au za miti? mbona hatuoni hizo nguzo zikimeguka au kuangua tangu zisimikwe?enzi za Kikwete nguzo zilikuwa zinatoka mfindi zinapanda meli zipelekwa South Africa tunakuja kuuziwa nguzo moja kwa laki 8, Magufuli alivyoingia tu kakomesha huo mchezo, Sasahivi wanaanza maripoti eti nguzo zilikuwa chini ya kiwango,ili waanze mchezo wao, generator kuna mwekezaji mkubwa hapo Arusha alikuwa anatengeneza zinamdodea watu wanaagiza za nje wanaweka cha juu,wanaacha za ndani yule, mwekezaji akamlilia Magufuli alipotembelea hicho kiwanda,ndipo Magufuli alipoamuru tanesco waanze kununua hizo transformers,ili kuwezesha muwekezaji na watanganyika kupata ajira,wazee wa 10% walinchukia Magufuli, baada ya kifo chake wanaanza kutunga uongo ili waanze mchezo wao wa kuagiza nje ili wapate cha juu,huyu huyu CAG aliisha wahi andika riport kuhusu stendi ya mabasi ya kisasa ya Magufuli kuwa ilijengwa kimakosa na itakuja kusababisha foren ya kutisha pale Mbezi, Sasahivi anajionea aibu.
 
Ukitaka kujua kuwa huyu CAG ni jipu basi ni pale anapoongelea vitu unavyovifahamu kwa undani, watu wataonewa bure kwakua ripoti ya huyu bwana inachukuliwa kama msahafu wakati imejaa utumbo kibao. Kwamba ufunge transfoma za 100 kVA kila mahali regardless ya idadi ya watumiaji?? Alafu distribution lines ziwe na urefu kiasi gani?
 
Katika miaka 6 ya Magufuli amesambaza vijiji vingi na umeme wa bei nafuu kuliko marais wote tanganyika mpaka nyumba za nyasi ziliwekewa umeme, wakati kabla ya Magufuli ulikuwa ukiwasha umeme unaoneka bonge la tajiri, Sasahivi tumerudi kulekule kama una kuanzia sh,350,000 hauwezi pata umeme kutoka elfu 29.Magufuli amuwezi kimchafua kizembezembe kazi zake alizozifanya bado zinamtangaza, kipindi cha Magufuli hadi dawasco walikuwa unafungiwa maji bure unaanza kulipa taratibu, Sasahivi kajaribu uone.Magufuli hata hatungiwe riport namna hipi tulioshudia tawala zilizopita hatuelewi hayo maripoti.
Mkuu Hawa wapumbavu, wanakuja na vijihabaei vya kuunga unga..

Rais JPM ndiye Rais pekee kuunganishwa Asilimia kubwa ya vijiji na Umeme wa uhakika.

Msoga Gang walivyojaza matope kichwan, wanadhan sisi nao nikama wao 🤣🤣
 
Soma taarifa hiyo, alisambaza transfoma substandard ambazo watu wakiwasha umeme inazidiwa inajizima, nguzo zilikuwa kama fimbo ya mwalimu shuleni, hazina viwango
Bichwa lako umelijaza matope wee chadema .

Hayaz Mbona hazianguki ??.

Mimi sio mtalaam wa masuala ya Umeme., Ninachojua ,nguvu ya Transfoma inategemea na idadi ya Kayak zipatazo huduma.

Unataka afunge. Transfoma ya 100KVA, kwa Kijiji ambacho kina watumiaji Umeme wasozidi hata mia mbili ??.

Hayaz bwana mtalaam , miundo mbinu ya Kupitisha Umeme wa 100KVA huko vijijin , ipo?.

JPM ni mwanasayansi, alijua alichofanya.

MAMA NLNA KIKUNDI CHAKE NI MAJIZI.

MAMA KATHIBITISHE, NI MWEPESIIIII, HAFAI KUA RAIS.
 
Back
Top Bottom