cuchi
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 218
- 74
sitetei ila huo ndo ukweli yaaan kuna watu wanajikuta ma bff wa Mungu kwa kujudge wenzaoommhhhhhhhh madam kwa kutetea
sitetei ila huo ndo ukweli yaaan kuna watu wanajikuta ma bff wa Mungu kwa kujudge wenzaoommhhhhhhhh madam kwa kutetea
madam watu wanamitazamo tofauti sema wema sometimes anaboa avai pichu ya ndanisitetei ila huo ndo ukweli yaaan kuna watu wanajikuta ma bff wa Mungu kwa kujudge wenzaoo
mmmhhh huko sipo na kuhusu kuntovaa hii imekuwa kawaida kwa wasichana na wamama walio wengi,mi nilichokuwa na pinga ni kwa watu kulazimisha kuona upande mmoja tu wa maisha yake inhali ana upande mwingine piasawa
madam watu wanamitazamo tofauti sema wema sometimes anaboa avai pichu ya ndani
sawa ila kwann hawavai the big reason is what?mmmhhh huko sipo na kuhusu kuntovaa hii imekuwa kawaida kwa wasichana na wamama walio wengi,mi nilichokuwa na pinga ni kwa watu kulazimisha kuona upande mmoja tu wa maisha yake inhali ana upande mwingine pia
Mi Nina muwaUna ramboooo
Wewe katika maisha yako hujawahi kuchakachua chohote?? ningekuona wa maana kama ungewasakama waloiba mabilioni ya escrow na mengineo na sio issue ya wema, kama ingekuwa Wema ndo ameiba baba mwenye nyumba angekubali kulipa deni? upo uwezekano ni wenye nyumba wenyewe ndo wanaofanya hizo issue.Naona kakutuma uje umsifie, vp umepewa bei gani mkuu huyu madame wako si ndio kishoka aliyechakachua LUKU?
Leo hii unakuja kutusumbua hapa?
Binafsi na familia yangu sitaweza kumuomba msamaha mtu aliyekwepa kulipa umeme.
Hii issue ya mnara nahisi huyu bwana hakuwa serious ametania tu. lol.Aisee! Tuanze na mnara MAGUFULI.
Tuondoleeni Ujinga huku.Inaniuma sana mkuu. Wakati mwingine hizi ni laana za Kitaifa. Imagine mtu anamchukia Wema wakati hajawahi kumfanya lolote, wanaacha kuwamaindi waandishi uchwara ambao kila leo wanawaharibia watu wanyonge maisha, kwa kuandika habari zao bila faraga wala kificho.
Naamini tukiwachukuza GPL na programu zao kama OFM tutakuta wameharibu sana ndoa, mahusiano, saikolojia na hata kuwafanya wengine wajiue. Ila mmiliki ni mfano wa kuigwa na Wema ndio Mama Ubaya!
Kuna tatizo basi mkuu kama unaona aibu. Kwa hiyo umeziba macho kwa haya hapo au unavunja vidole?Kama we ni mtoto wakiume uliyeandika uzi huu aibu naona mimi
Ukuu wa WilayaKuna nini kinafuatia hapa?
mmmmhhh we ni zaidi ya hater,kipi cha ajabu alichofanya wema mpk asifae kuwa mke wa mtu,wanaolewa makahaba walioshindikana sembuse wema looooh
humu ndani kuna Miungu watu wanajikuta wao wasafi kumbe ndo wachafu mpk shetani anaomba poo....wema ana mabaya yake ila pia she has a good side of her kama binadamu wengine penye ukweli tuseme....