Plot4Rent Mabanda ya kuku yanakodishwa

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
1,459
697
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
 
Duh . yani banda tu unakodisha milioni moja mkuu? nimepoteza tu vocha yangu kukupigia
 
Huyo muhitaji anakupigiaje simu bila kujua bei? Kwanini usiweke hapa bei na kueleza kwa mwezi au mwaka ni kiasi gani? Kwa zama hizi imeshindikana kabisa kuweka picha?

Hata kama udalali, fanyeni kisasa basi ili watu wawaone mko makini kujipambanua na matapeli. Jazia tangazo habari muhimu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom