Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe
EliakimMallya@yahoo.com
U.S. Department of State ndio "United States Department"? Mikwara miingi na kejeli kumbe kilaza mkubwa.Kweli kazi ipo: ingia U.S. Department of State
Na wewe nae, there is no such thing as United States Department!U.S Department unaweza kufananiasha na neno hili "Wizara za serikali ya federali ya Marekani".
kweli mimi ni kilaza mkubwa wala haujakosea, ila kuna jukwaa la lugha karibu kule ukaoneshe umahiri wako wa lugha. hili ni jukwaa la siasa hata mtu akikosea spelling sisi tunachojali ni kuelewa content ya habari yake. washamba kama nyinyi hata mjini mpo maana siku hizi washamba si wakutoka shamba tu.U.S. Department of State ndio "United States Department"? Mikwara miingi na kejeli kumbe kilaza mkubwa.
Mnaalika watu kwenye maandamo kwa matangazo bizarre kwamba State Department itapokea maandamano binafsi ya Wabongo against Rais wao. Hata wananchi wa Venezuela wangeandamana kumpinga Chavez in Washington DC, the State Department haiwezi kujihusisha.
Na wewe nae, there is no such thing as United States Department!
Hizo figures ulizipata wapi wewe?
Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?
Wacha kuishushia hadhi idara ya usalama wa Taifa, yaani unadhani TISS inaweza kuajili mambumbumbu kama FF? kwanza ungejuwa anapoishi ndio ungechoka kabisa, huyu FF anaishi katika moja ya nyumba duni kabisa pale mtaa wa kariakoo.Hv naomba siku moja tukutane nakutambulishana kwan nazani ww utakuwa sio bure. Sidhani hata mtoto wa shule ya msingi anaweza kufikili unavyofikili. Unaonekana hupo humu kwa manufaa ya hao jamaa kwan kila mara nikujitutumua hili kuwa tetea. Hata kama ni usalama wa taifa nazani roho yako inakusuta kwan hakuna lamaana na ninakwambia hutafanikiwa na harakati zako na wenzako. Leo hii hata hao mliozoea kuwadanganya kwa T-sheti na kofia na khanga wameshtuka. Hivyo dada kazi mnayo.
"It is better to die standing than to live on your knees." Che Guevara
Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?
Kwa tuliwahi kukaa pale na mpaka leo kuna familia yangu baadhi wanakaa pale huwezi kubisha. naweza kukutajia hata kwa majina nani amekana na nani raia mpaka leo.
lakini wa tanzania wote pale wana nia ya kupata uraia wa marekani ila vigezo na taratibu ndio vinasumbua.
Madanguro yaliyoonezeka.....Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
Kwa tuliwahi kukaa pale na mpaka leo kuna familia yangu baadhi wanakaa pale huwezi kubisha. naweza kukutajia hata kwa majina nani amekana na nani raia mpaka leo.
lakini wa tanzania wote pale wana nia ya kupata uraia wa marekani ila vigezo na taratibu ndio vinasumbua.
Kwa tuliwahi kukaa pale na mpaka leo kuna familia yangu baadhi wanakaa pale huwezi kubisha. naweza kukutajia hata kwa majina nani amekana na nani raia mpaka leo.
lakini wa tanzania wote pale wana nia ya kupata uraia wa marekani ila vigezo na taratibu ndio vinasumbua.
Madanguro yaliyoonezeka.....
Makahaba walioongezeka...
Umaskini ulioongezeka.....
Kutembea na vidumu vya mafuta kwenye magari....
Naona Kuelewa kunakupa shida, nilisema hivi, "unaweza kufananisha" na neno wizara kwa ujumla.Na wewe nae, there is no such thing as United States Department!
U.S Departments unaweza kufananisha na neno hili "Wizara za serikali ya federali ya Marekani".
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe
EliakimMallya@yahoo.com
Acha matusi Barubaru, kuna Watanzania tupo kiwanja miaka kibao vigezo vyote tunavyo na hatujachukua uraia wa mtu mpaka leo.
Ingawa nchi inavyoenda sasa tunaweza kulazimika.
Kama wewe umekaa na watu wasio karatasi vizuri usifikirie kila Mtanzania nchi za nje ana uchu na uraia wa watu.
Tena kuna watu washarudi mpaka bongo ingawa wana privileges zote za kuomba uraia hapa.
Sio kla mtu analimbukia uraia wa watu kihivyo.