Hahahaha
MAGUFULI AUMBUKA
Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ameishia na sauti ghafla hali iliyolazimu mkutano wa kampeni kufungwa pasipo mgombea kumaliza kunadi ilani ya chama.
Magufuli amepatwa na balaa hilo leo hii akiwa mkoani Mbeya hali iliyozua hofu na sintofahamu nyingi juu ya afya ya mgombea huyo wa CCM.
Magufuli ambaye alitakiwa kuongea na waendesha boda boda mara ya mkutano huo kuisha ameishia kuwapungia mkono boda boda hao na juu ya tatizo la afya mgogoro uliomkumba.
Hata hivyo habari zilizotufikia hivi punde zinasema Magufuli amelazwa katika hospitali ya mkoa kwa kile kinachosemekana mapigo yake ya moyo hayapo sawa sawa.
Ikumbukwe moyo wa magufuli unafanya kazi kwa kifaa cha kuchaji kinacho rekebisha mapigo ya moyo kiitwacho "Pacemaker" ambacho kipo mwilini mwake.
Hii ni mara ya pili kupatwa na tatizo la kiafya tangu aanze kampeni za urais. Mara ya kwanza moyo ulileta shida akiwa mkoani Katavi hali iliyopelekea kushindwa kuhutubia katika mkutano mmoja wa hadhara na hivyo kuishia kuwapungia mkono watu waliojitokeza kumsikiliza.
Tatizo hili la moyo linampa wakati mgumu Dk. Magufuli nyakati hizi za kampeni.
Yaani lowassa sijui huwa nini kinamkuta. Mnajiandaa sana halafu akija hamna anachoongea cha maana mpaka mkutano unaisha.
kumbe wewe ni bibi!nenda nyumbani utunze vitukuu social media waachie damu changa.
Wewe Ajuza unafikiri hapa utapata kijana wa kukutoa ukame? Hakuna mipini ya kuchezeaLowassa hatumchaguwi hata mseme nini.
Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.
Hapa najiuliza hivi watu wa Dar es salaam ambao maisha hayaendi bila kufanya kazi usiku na mchana kutwa ndio wameacha kazi zao na kuja kukesha jangwani? Au Yale magari yameanza kufika kutoka mikoani Leo lkn kwann wasinge watengenezea malazi Mimi nawaza tu
Hiyooo