Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,989
- 23,501
Unattributed mpunga wa watu imeishabhiooNimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.