LUKU inakula umeme sio poa

Kabla ya ac nlikua natumia unit 6 kwa siku bado naona ni mwingi kwa vitu hivyo
Muite fundi aangalie, kutakuwa na shida mahali. Hayo matumizi ni makubwa sana kulinganisha na vifaa ulivyonavyo. Manake sasa siku kumi 280units, kiwanda kabisa hicho.
 
Pigeni hesabu za matumizi yenu kwa kuangalia utumiaji wa vifaa husika, kisha baada ya saa moja angalia umeme umeendaje, je unalingana na vitu vyako au umezidi, ukizidi maana yake kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom