POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,400
Wanabodi.
Karibuni kufuatilia kipima joto live kutoka studio za ITV, leo Ijumaa tarehe 07 /11/ 2014 saa 0900, Ambao hamna access na ITV karibuni msibanduke JF. Mpaka kieleweke
Mada.: katiba inaopendekezwa. Je haki ya kushiriki katika mchakato umezingatiwa?
Bwana Polepole, anasema swala la katiba ni muhimu sana kushiriki kila mmoja wetu. Ni swala la wewe mwenyewe.
Kwamba kuna watu wanadharau issuebya katiba na kujali changamoto zingine.
Ana hoja ya Nape. Aliowauliza watu wa Tanga kama wanataka KATIBA ama Barabara?
Anasisitiza katiba ni kitu cha msingi. Ni kama "Uzazi" akimaanisha ni suala la binafsi. Ni dhamini, kujitoa ni Haki.
Polepole anaseama hatua mbali mbali zimepitia kwa mujibu wa sheria.
1. Kusanifu
2. Mabaraza
3. Bunge malumuu
4. Katiba iliopendekeza inafaa kuboreshwa tena
Anasema wanachokifanya siyo Kampeni ni ni sheria inataka hivyo. Ni matakwa ya katiba kutoa Elimu
Kuna makosa mengi kwenye katiba inayopendekezwa.
Anasema: kama katiba pendekezwa ikipingwa kutakuwa na duru ya pili. Kwamba bunge litarudi tena kurejebisha iwe bora zaidi
Polepole: anasema vyama vyote vilikubaliana kuailisha mchakato wa katiba ila kwa bahati mbaya yametokea kama yaliyotoke.
Anasema hii ni fursa ambaya imechezewa.