Lissu ndiye Mtetezi Namba Moja wa Haki na Umoja

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,793
41,714
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu yeyote.

Lisu, mara kadhaa amejitolea kuwatetea na kuwasemea watu wanaoonewa katika jamii bila ya kujali anayewaonea hao watu ana nguvu kiasi gani. Amefanya hivyo bila ya kutaka malipo binafsi au kuhofia maisha yake.

1. Lisu alIwahi kuwatetea wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar, Campus ya Muhimbili waliofukuzwa na Serikali kwa uonevu, Kigwangala wakati huo akiwa kiongozi wa wanachuo. Na wapo pia wengi , wakiwa mtu mmoja mmoja walionufaika na fadhila za Lisu katika kuetetewa dhidi ya wadhulumaji.

2. Lisu aliwahi kupaza sana sana sauti na kupambana na Serikali mpaka kwenye majukwaa ya kimataifa kuhusiana na wachimbaji wadogo wa dhahabu waliofukiwa wakati wa zoezi la kuwaondosha kwenye eneo la mgodi wa Bultanhulu, Kahama.

3. Lisu, wakati Watanzania wote wakiogopa kutoa kauli yoyote dhidi ya Rais na Serikali wakati wa uongozi wa awamu ya tano, yeye alipaza sauti juu ya mapungufu mbalimbali ya maamuzi, na hasa uvunjwaji wa mikataba ya madini bila ya kufuata taratibu za Kisheria, akiitahadharisha nchi kushtakiwa na kulipishwa mapesa mengi. Na baadaye, kweli nchi imeshtakiwa, imelipishwa pesa nyingi, na kesi nyingine zikiwa bado mahakamani.

4. Lisu, akishirikiana na Watanzania wengine, amepaaza sana kauli dhidi ya mkataba mbaya kabisa wa IGA unaohusu uporwaji wa bandari za Tanganyika, na anaendelea kupaza sauti. Na pia anaendelea kupaza sauti kuhusiana na mikataba inayogawa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu kwa waarabu.

5. Lisu, sasa anapaza sauti dhidi ya dhuluma walizofanyiwa wamasai kuondoshwa kwenye maeneo yao ya asili na kupelekwa kwa lazima umbali wa mamia kilometa kutoka maeneo yao.

6. Lisu kwa sasa amesimama kama nguzo ya nyakati hizi katika kupinga muundo mbaya wa Muungano.

7. Lisu anaendelea kutoa elimu jinsi katiba yetu ilivyo hovyo, na inamvyomfanya Rais kuwa Mungu mtawala, na kupitia huo Umungu mtawala, anavyoweza kukanyaga haki za mamilioni ya Watanzania bila ya kuhojiwa. Lisu anaendelea kupaza sauti dhidi ya Tume bandia ya uchaguzi, ambayo kimsingi ni Tume ya Rais ya kuwahadaa wananchi, ionekane kuna uchaguzi ilihali ni Tume ya kuhalalisha uporaji wa haki za wananchi katika kuwapata viongozi wanaowataka.

KATIKA MAPAMBANO HAYA YOTE HAKUNA HATA MOJA, AMBALO NI KWAAJILI YA FAIDA YA LISU, KAMA MTU BINAFSI. KATIKA MAISHA YAKE YOTE, LISU HAKUNA HATA TUHUMA KUWA ALIWAHI KUIBA, KUPORA MALI YA MTU AU KUPOKEA MAPATO YASIYO HALALI YAKE.

Yeyote anayepigania haki, usawa na maboresho ya mifumo katika jamii, huyo ndiye mzalendo wa kweli, huyo ndiyo mwenye upendo wa kweli, huyo ndiye mwenye dhamira ya kweli ya kudumisha umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania. Kinyume cha hapo, huyo ni mnafiki, na mtu mwovu mwenye kulitakia mabaya Taifa letu.

Kila mbakaji wa haki na rasilimali za nchi, akisikia sauti ya Lisu, anatetemeka na kuishia kubwabwaja akijua kwa hoja na kwa uzalendo, hana uwezo wa kupambana na hoja za Lisu.

HONGERA SANA LISU, TUNAKUOMBEA, MUNGU AENDELEE KUKULINDA, KUKUBARIKI NA KUYANYOOSHA MAPITO YAKO DHIDI YA WANAFIKI NA WADHULUMAJI WA HAKI, NA WATETEA MIFUMO INAYOLINDA NA KUPALILIA UOVU DHIDI YA WATANZANIA.
 
Wewe unataka pesa au Haki? 😜😜😜

Naskia mumepigwa bei na kununuliwa kama mafungu ya bitunguu huko 😁😁😁😁

Waganga njaa wa Chadema wamefioa bei na wanadai Huwa wanapinga Rushwa 😂😂
 
acha upotoshaji,

sema kibaraka namba moja wa mabwenyenye ya magharibi humu nchini 🐒
 
Halafu mitanzania ilivyo misukule inawaamini watu kama nyie,!! Mtu anayetaka kuwatoa kwenye mikono ya mkoloni mweusi, anaonekana anataka kuvuluga nchi, ili muendelee kufaidi tu. Ila yana mwisho tu.
kibaraka atitoe kwenye mikono ya mkoloni mweusi atupeleke magharibi kwa mkoloni mweupe right 🐒

mercenaries bana 🐒 🤣
 
Kinachomtesa Lissu ni uroho na uchu wake wa madaraka,ambao unampelekea kuanza kupandikiza ubaguzi na chuki kwa watu baada ya kuwa ameshindwa kuwashawishi watu kwa hoja zenye mashiko.
 
Waliokataa hoja zisizo na mashiko wanaweza kupandikiziwa ubaguzi na chuki??
 
Ndio maana watanzania wazalendo wamegoma kumuunga mkono. Hii ndio maana unaona Lissu akitapatapa kila siku kusema anatoa ufafanuzi wa kauli zake ,baada ya kuona alishambuliwa kila kona
 
Lisu ni mharakati aliyobobea.

Na kwa maoni yangu-Haitatokea hata siku moja, akawa Raisi wa Tanzania.

Itakuwa ni hatari kwa Usalama wa Muungano na Taifa letu.
 
Anza na Wamasa, bandari na Muungano.
Upuuzi tu wamasai bado wapo ndani ya tanzania bado wapo kwenye mapori waliyopangiwa wamasai wamejengewa nyumba mnataka waendelee kuliwa na simba wamasai wamejengewa mashule nini tatizo hakuna anayewapenda wamasai nchi hii zaidi ya wanavyojipenda wenyewe wengine ni porojo!
 
Walisemaga waonao mbali kwamba

We live in a time where Intelligent people are being silenced so the…… wont be offended. !

KARMA is a bitch !
 
Ndio maana watanzania wazalendo wamegoma kumuunga mkono. Hii ndio maana unaona Lissu akitapatapa kila siku kusema anatoa ufafanuzi wa kauli zake ,baada ya kuona alishambuliwa kila kona

Mashetani kama ninyi ndio maadui wakubwa wa Taifa hili. Ninyi ndiyo mnaotaka Watanganyika wa vizazi vijavyo waje waiashi kama mateka na watumwa ndaninya Taifa lao.

Bahati nzuri wote wenye akili wamegundua uhayawani na ushetani wao. Ndiyo sababu hata taasisi zinazoaminika kama TEC na watu wengi wenye hekima waliopo ndani na nje ya CCM wanapinga uporwaji wa radilimali za nchi, na kuwagawia wageni.

Niambie, mwarabu amewejeza nini kwenye hifadhi zetu za misitu? Amepanda mitende au anavuna miti asilia yetu? Niambie, mwarabu amewekeza nini kwenye mbuga zetu za wanayama? Amepandikiza ngamia wa jangwani au anaingiza mabilioni ya pesa kwa kuwaonesha watalii, wanyama wetu wa asili?

Jivueni ushetani na uhayawani. Mpiganie urithi wa Taifa letu. Mlaaniwe sana ninyi vibaraka msiojitambua.
 
Back
Top Bottom