Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

TRAT

Member
Nov 29, 2022
46
119
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea lolote na taifa hili likatetemeka kwa sauti yake. Baada ya mzee wa Lupaso taifa lilibaki na yeye. Baada ya msiba huu anaweza kufyoka kweli wajumbe wakaufyata kama alivyokuwa yule mzee wa Lupaso. Kuna haja ya kurudisha heshima yake, nini kifanyike sasa ili irudi. Mbali na Rais lazima awepo mzee mwenye sauti akiongea Raisi anashituka, wajumbe wanashituka, bunge linashituka. Kwa namna hali ilivyo hana uwezo baada ya heshima yake kuporoka ghafla kule Monduli. Wataalamu ya Sayansi ya siasa kwa afya ya taifa wanashauri nini kifanyoke kurudisha heshima yake katika taifa hili. INadhani hata Ile remote aliyosema Roma Mkatoriki betri zitakuwa zimeisha na hata zikibadilishwa kutakuwa na kutu tayari.
 
hana muda mrefu na yeye atamfuata aliyekuwa swahiba yake.

Jitimai aliyonayo baada ya kuzogomwa nina hakika analia na nafsi yake popote alipo japo anajifanya hajali.

Umri ushamtupa mkono, ukijumlisha na kihoro cha kusutwa na nchi nzima, ni swala la muda mfupi tutatashusha bendera nusu mlingoti. RIP in advance kwake.
 
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea lolote na taifa hili likatetemeka kwa sauti yake. Baada ya mzee wa Lupaso taifa lilibaki na yeye. Baada ya msiba huu anaweza kufyoka kweli wajumbe wakaufyata kama alivyokuwa yule mzee wa Lupaso. Kuna haja ya kurudisha heshima yake, nini kifanyike sasa ili irudi. Mbali na Rais lazima awepo mzee mwenye sauti akiongea Raisi anashituka, wajumbe wanashituka, bunge linashituka. Kwa namna hali ilivyo hana uwezo baada ya heshima yake kuporoka ghafla kule Monduli. Wataalamu ya Sayansi ya siasa kwa afya ya taifa wanashauri nini kifanyoke kurudisha heshima yake katika taifa hili. INadhani hata Ile remote aliyosema Roma Mkatoriki betri zitakuwa zimeisha na hata zikibadilishwa kutakuwa na kutu tayari.
Tz ya Leo sio ya kushitushwa na matamko ya wastaafu.

Kuwa mkubwa basi.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Msiba umemnyanganya remote control na kumkabidhi mama. Tutalajie kukimbiwa na vijana wake wote. Hana namna tena. Wamasai siyo watu wa kuchezea. Wale wa umri wangu mnakumbuka kifo cha Sokoinne.
 
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea lolote na taifa hili likatetemeka kwa sauti yake. Baada ya mzee wa Lupaso taifa lilibaki na yeye. Baada ya msiba huu anaweza kufyoka kweli wajumbe wakaufyata kama alivyokuwa yule mzee wa Lupaso. Kuna haja ya kurudisha heshima yake, nini kifanyike sasa ili irudi. Mbali na Rais lazima awepo mzee mwenye sauti akiongea Raisi anashituka, wajumbe wanashituka, bunge linashituka. Kwa namna hali ilivyo hana uwezo baada ya heshima yake kuporoka ghafla kule Monduli. Wataalamu ya Sayansi ya siasa kwa afya ya taifa wanashauri nini kifanyoke kurudisha heshima yake katika taifa hili. INadhani hata Ile remote aliyosema Roma Mkatoriki betri zitakuwa zimeisha na hata zikibadilishwa kutakuwa na kutu tayari.
Busara ni kukaa kimya kwani akijibu ndiyo ataundeleza huu mjadala na mengi zaidi yataibuliwa kwani hawa watu wote ni waovu na wameliumiza hili Taifa ni kama watu walishasahau lakini akifungua mdomo wake watu watafunguka mengi tu na yanaweza na yeye yakamharakishia kifo. Apige kimya tu. Kwani nani hajui kisa cha kuitwa mapacha watatu?
 
Busara ni kukaa kimya kwani akijibu ndiyo ataundeleza huu mjadala na mengi zaidi yataibuliwa kwani hawa watu wote ni waovu na wameliumiza hili Taifa ni kama watu walishasahau lakini akifungua mdomo wake watu watafunguka mengi tu na yanaweza na yeye yakamharakishia kifo. Apige kimya tu. Kwani nani hajui kisa cha kuitwa mapach
 
Busara ni kukaa kimya kwani akijibu ndiyo ataundeleza huu mjadala na mengi zaidi yataibuliwa kwani hawa watu wote ni waovu na wameliumiza hili Taifa ni kama watu walishasahau lakini akifungua mdomo wake watu watafunguka mengi tu na yanaweza na yeye yakamharakishia kifo. Apige kimya tu. Kwani nani hajui kisa cha kuitwa mapacha watatu?
Naunga mkono akae kimya. Tena akiweza ajitengee na mitandao ya kijamii. Awe busy kucheza na wajukuu tu.
 
Msiba wa Maalim Seif haukuwa na mambo Mengi

Kafariki asubuhi akazikwa alasiri

No fursa ya majungu kama hii
 
  • Thanks
Reactions: xox
Back
Top Bottom