Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali.
Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo naweza lipia kodi hadi bei gani
Ok naangaliaje izo frequency zake na na nilikua na uliza ivyo maana ninanyo sikia iyo simu ni water proof ila umo wameandika sio ndo sijajua kama ni copy au laaAngalia Reviews za walionunua ikiwemo na picha halisi. Hakikisha frequency zake zitafanya kazi Tanzania. Hivyo ndio vitu vitakavyokusaidia kupata bidhaa itakayokidhi mahitaji yako....
ndio maana chiefmkwawa huwa anasisitiza kwamba kununua refub ni kama kubet.Nimenunua LG V30, nimenunu Sony Z1 zote refurbished.
Ukiipokea ni mpya kabisa namna ilivofungwa nk.
Lkn haina maisha maref7 kwasababu refurbishment ya kichina ya ajabu sana, wanaunganisha na magundi, wakati mwingine yanaweza banduka, au ubovu uliofanya iwe refurbished mara nyingine ni mkubwa so wanaweka spare duni, so unanunua lkn kufa kwake ni muda wowote.
Hazina maisha sana, ingawa kazi zinapiga fresh. Kwa mfano wengi waliofungua, ndani walikuta heating coil imeondolewa nk nk, LG v30 nilionunu baada ya miezi 6 ilianza kubanduka display. Aliekuwa nayo hakuwa makini akajikuta mkanda wa display umekufa, saiz nadaiwa kuagiza display mpya kama tsh 200000 AliExpress
Yes. Refurb ni betting maana hujui wali refurb nini kwenye simu. Unakuta zingine wame refurb mashine nzima, ukiingia ndani imechomelewa kama majiko ya umeme waliorudi nayo wanajesh toka Ugandandio maana chiefmkwawa huwa anasisitiza kwamba kununua refub ni kama kubet.
inaweza kuwa bingo au wenge.
Mkuu usirogwe ukanunua hizo simu, mimi nina LG G6 mpaka sasa nimeiweka kwenye droo, na ni niliitumia miezi 6 tu kisha ikafa, nimehangaika sana Kariakoo na kutumia gharama kubwa kutengeneza lakini haikusaidia,Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali.
Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo naweza lipia kodi hadi bei gani.
View attachment 1667031
Aisee hii siledi imenikatisha tamaa sana isitoshe bajeti ilikuwa kwa ajili ya refurbished sasa mpya kuipata tena mpaka niongeze miaka mingine saba ya kufanya kibarua cha kuchunga ng'ombeYes. Refurb ni betting maana hujui wali refurb nini kwenye simu. Unakuta zingine wame refurb mashine nzima, ukiingia ndani imechomelewa kama majiko ya umeme waliorudi nayo wanajesh toka Uganda
Nimenunua LG V30, nimenunu Sony Z1 zote refurbished.
Ukiipokea ni mpya kabisa namna ilivofungwa nk.
Lkn haina maisha maref7 kwasababu refurbishment ya kichina ya ajabu sana, wanaunganisha na magundi, wakati mwingine yanaweza banduka, au ubovu uliofanya iwe refurbished mara nyingine ni mkubwa so wanaweka spare duni, so unanunua lkn kufa kwake ni muda wowote.
Hazina maisha sana, ingawa kazi zinapiga fresh. Kwa mfano wengi waliofungua, ndani walikuta heating coil imeondolewa nk nk, LG v30 nilionunu baada ya miezi 6 ilianza kubanduka display. Aliekuwa nayo hakuwa makini akajikuta mkanda wa display umekufa, saiz nadaiwa kuagiza display mpya kama tsh 200000 AliExpress
Aka oyo xiamomi si zinakua na gharama sanaMkuu usirogwe ukanunua hizo simu, mimi nina LG G6 mpaka sasa nimeiweka kwenye droo, na ni niliitumia miezi 6 tu kisha ikafa, nimehangaika sana Kariakoo na kutumia gharama kubwa kutengeneza lakini haikusaidia,
Mpaka sasa ipo tu kwenye droo.
Baada ya hapo ndipo nilipomuomba ushauri Chief-Mkwawa akanishauri vizuri na sasa nadunda na Xiaomi.
Zina heat kwa kuwa huwa wanazikorokochoa sana ndan kwenye mifumo ya kuzi poozaSawa ndugu vipi kuhusu izo simu kupata moto mara kwa mara kama v10 na v20 naskia zina tabia yaku pata moto ata bila ku washa data
Mkuu kama haupo sure kuna uwezekano mkubwa huna matumizi hayo ya refurb,Ebu
Nielekez3 kidogo kaka nisiangukie pua
Mimi bujeti yangu ni 240000 tsh mkuu nimechoka tecno ikifika mda flani zina anza ku stuck sanaMkuu kama haupo sure kuna uwezekano mkubwa huna matumizi hayo ya refurb,
Tafuta tu simu mpya zipo nyingi tu siku hizi xiaomi, vivo, oppo etc utapata simu ya bei nafuu.
Ungetaja budget yako ungeshauriwa simu nzuri.
Hio Unapata Redmi 9A, simu nzuri ila kama unaweza ongeza ongeza redmi 9 around laki 3 ni much better, hizi zinapatikana kenya.Mimi bujeti yangu ni 240000 tsh mkuu nimechoka tecno ikifika mda flani zina anza ku stuck sana