Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,589
- 3,673
Taja mifano ya hizi nchi tuone, taja tanomkuu hiki unachofanya ni utoto tu,mada mezani ni dini ipi ikiimeza au kuizidi nyingine kunakuwa na uvumilivu wa kiimani.
ndio marekani sio nchi ya kikristo,hata hapo vatkan bado muislam anaweza kufugika bila shida yoyote,akanenepa kabisa kama mfugo mwingine huku akiendelea kumtukuza Allah.kimbembe ni jambo hili kuwa kinyume chake sasa.
mkristo anaweza chinjwa kabisa.