Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Mkuu naomba msaada wako kuhusu kesi ya kutishiwa kuuwa kwa maneno nisome vitabu gani ili niweze kutoa ushaidi wenye weledi usiyo na shaka
 
JAMAAN MSAADA WA HARAKA WAHITAJIKA,

naomba mwenye ufafanuzi juu ya bunkruptcy policy anisaidie!
 
Mm kingereza sifahamu mkuu ila napenda sana kujifunza pia naona changamoto tunazopitia ktk maisha ya ajira na sera kandamizi kupitia jukwaa hili natumahi siku Moja nitajikomboa mwenyewe.
ASANTENI nyote .
 
Hivi jamani what happened to Dragoon? aliondoka na uzi umekuwa kama mfu!
Watu wameamia telegram... tuliobaki humu hatupo organized... mfano kama nafahamu Retired ni mwanasheria nakuja humu naomba documents nakutag na wengine ninao wafahamu ili iwe rahisi


Telegram kuna group la All legal documents lipo vizuri
 
Watu wameamia telegram... tuliobaki humu hatupo organized... mfano kama nafahamu Retired ni mwanasheria nakuja humu naomba documents nakutag na wengine ninao wafahamu ili iwe rahisi


Telegram kuna group la All legal documents lipo vizuri
asante sana, how do you join telegram?
 
Natafuta template ya POA ya kuhusu malipo ya bima (baada ya ajali), badala yaende kwa aliyewekewa bima, yaende kwa mtu baki. Nic hawana!
 
Selikavu nisaiie hili kma utaliweza, seems wewe ni wakili/mwanasheria
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed to adverse possession, maana huwezi kutumia adverse possession as a sword being a plentiful )
3. Je naweza kushitaki kwa wizi/criminal tresspass
 
Back
Top Bottom