Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

Eeeeeh

Niandike tu na mimi humu niache kumbukumbu

Kwamba

Sishangai aliyoandika ndio kwanza nimefurahi maana hayo pia wengine na sisi huwa tunayaandika humu kila wakati

Ha ha haaaaa

Nacheka sana eeeeeh

Angeandika pia jinsi walivyojitajirisha na pesa za wananchi walizodai ni za matibabu ya Mh. Lissu ambaye ametendea na wenzake humo humo Chadema kuanzia mkuu wao.. eeeeh
 
Hakuna kama Kamanda Mbowe amejitoa ametoa mali ma muda wake wote kutupigania, Mubgu ambariki sana Mbowe.

Ingawa inauma tunamshukuru Mungu kuendelea kuwaumbua waovu na vibaraka waliojifanya wametubu kumbe zambi bado hawajaziacha
Huyo Mbowe ni kamanda uchwara.Na km ndiyo unamtegemea andika umeumia.
 
Unasema vyeo hawapati, wakati Lowasa alipewa nafasi ya juu kugombea urais na angeshinda pengine Sumaye leo angekuwa kiongozi wa ngazi ya juu,,

Fikirja waliwaweka kapuni makamanda kama kina Salum Mwalimu alafu eti wanampitisha Masha kugombea ubunge wa Eac!

Hiyo ni historia, umesahau hata Salim Ahmed Salim ndio alikuwa awe rais wa Tanzania na sio Kikwete? You can't undo the past. Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa.
 
Ni haki yako kutoa maoni haya. Na ukiona hujaridhika na mawazo haya kampige risasi kiongozi yoyote wa cdm. Ila mimi nimefurahi sana Masha kuondoka na kama kina kitu ameacha huko arudishiwe haraka tunamtakia kila la heri kwani hakuwa na mchango wowote zaidi ya kuwinda cheo.

Namuomba sana awashawishi Lowassa na Sumaye warudi kwenye nyumba yao kwani huku cdm wanateseka na hawana mchango wowote. Yeye na wao wamezoea siasa za kubebwa na dola na hawana uwezo wa siasa za hoja na ushawishi. Tunaomba waondoke maana tunawaona kama mapandikizi tu.
Kama mnayo jeuri.. Muanzishieni Mbowe sokomoko hili!
 
Hapa Nchini siasa ni ajira, acha waliojiajiri kwenye siasa waangalie maslahi yao opasavyo shabiki endelea kuwa shabiki waache ambao siasa inawalisha na kuwavesha na kusomesha watoto wao waendelee kuangalia fursa
 
Tukiwaambia Chadema achaneni na makapi toka ccm hamsikii....

Siasa ni msimamo sio kubadili gia angani......wengi wanaokimbia ccm kwenda Chadema sio wapinzani wa ukweli.

Mbowe rudisha chama kwenye misingi yake achana na makapi ya akina Nyalandu.

Kwa hili tuko pamoja.
 
Kwa jinsi nilivyohadithiwa Historia ya Lawrence Masha hasa Kimaisha na kwamba ni Mtoto wa Ushuani halafu Kwao tokea Kipindi cha Baba yake ni Watu wanaojiweza sana Kiuchumi nashangaa mno kwamba kwanini amejiingiza katika ulingo wa Siasa wakati kama angeachana na Siasa na kuendelea na shughuli zake zingine leo angekuwa mbali Kiuchumi kuliko alivyo sasa.
 
Kiyumbe mara mbili?
Ninasikitika,kama kweli nchi ina mfumo wa vyama vingi basi tunahitaji vyama mathubuti vya upinza...upinzani wenye malengo.sasa kwa hii style ya kutegemea vyama vya upinzani viimarike kupitia hao wanaoitwa oil chafu,safari itakuwa bado sana.kwa tusiokuwa na moyo wa subra kama mimi tunaona bora tuuvunje upinzani tupambane tukiwa wote kwenye chama kimoja
 
Kama mnayo jeuri.. Muanzishieni Mbowe sokomoko hili!

Hatolewi kwa ugomvi maana huo sio utaratibu, bali anaambiwa ukweli wake anajipima. Kwa sasa imefika muda lazima atakaa pembeni na ataingia mtu sahihi tu. Yeye atabaki kuwa mshauri. Sisi washabiki na wanachama ndio tumempa nguvu, akishindwa kutusikiliza cdm itakuwa kama ilivyo Nccr- Mageuzi.
 
Hivi swali la kujiuliza wakati anashuka ccm na kupanda CDM alipanda ili akaukwae uwongozi overnight eeh...

Nadhani waafrika tutabaki huku mkiani kwa muda mrefu unless otherwise..
 
Back
Top Bottom