Mrisho com
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 3,926
- 3,968
Nimepanda gari na kwenda sehemu tofauti tofauti nimeona mizozo mingi sana kwenye gari juu ya nauli mpya. Sasa inawezekana ni uelewa wa watu juu ya mabadiriko haya mapya ya nauli au mambo yakawa miso missondo.
Mfano,nauli kutoka buza mpaka kariakoo gerezani, zamani ilikuwa 500 na sasa nauli mpya ni 600. Sasa wale waliokuwa wanalipa nauli 600 sasa hivi wanalipa 800 hii nimeshuhudia leo huu mzozo.
Ni vyema LATRA wakaja na elimu ya kushiba au wachore kabisa kwenye mbao za gari ili kuondoa mzozo huu,watu wanahisi makonda wanapita na pesa za watu
Ni hayo tu,babu wa kigambo kwa sasa nipo mvuha napalilia mahindi