GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga?
Actress wa Movie hakutakiwa Kuandaliwa sehemu yake ya Kukaa na Kukutana na hao Wamachinga Feki wa Kike waliopewa Hela huku Wawili wakiwa ni Wenyeji wa Mwenge Makumbusho ambao nao Waliandaliwa Meza yao huku Bidhaa zao za Nyanya na Vitunguu vikiwa mbele yao.
Siku zingine mkitaka Kutengeneza Movies nzuri ambazo zitawafanya msishtukiwe upesi na wenye Akili Kubwa kuwazidi muwe mnanitafuta GENTAMYCINE ili niwatengenezeeni.
Haya mwambieni huyo Mmachinga Feki wa Kike aliyeulizwa kwanini Yeye ni Mrembo na anauza Nyanya Soko la Nzega arudishe hizo Nguo Kuu Kuu alizozivaa kwa Wenye nazo avae zake zile za Gharama na akirejea Dar es Salaam leo tukutane pale Tarakea Mwenge tunywe pamoja Maziwa ya Mtindi na Korosho.