bitare
Senior Member
- Jul 13, 2023
- 197
- 598
Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili tuu tuungane.
Ikumbukwe baada ya muungano Tanganyika ikafa, Zanzibar yenyewe ipo, Mtanganyika hanahaki ya kununua ardhi zanzibar ila mzanzibar anahaki ya kununua ardhi Tanganyika, Mtanganyika hana haki ya kuajiliwa na serikali au kugombea ungozi ndani ya Zanzibar ila Mzanzibar ana haki hizo Tanganyika ikumbukwe pia na wale wabunge wao wa majimbo, wawakilishi na viti maarum ambao jumla ni 80 na ushee wote wanalipwa na tanganyika kwa vyovyote kukubali kubeba mzigo wote huu kunaonyesha kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar.
Nivema viongozi wangetueleza sababu za Tangayika kuuhitaji muungano huo pengine watu wataona ni zamsingi na hivyo kupunguza manung'uniko.