Noncommited
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,125
- 369
Habari Wakuu
Hili linawahusu viongozi wa CHADEMA wilaya na Mkoa kitendo cha kuwazuia watia nia wa Ubunge Jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya CHADEMA wasiongee kwenye Mikutano hakileti tija.
Kuzuiliwa kwao kuongea imekuja mara baada ya kuzindua ziara ya watia nia kwenye Kata mbalimbali kuanzia na kata ya Mjini Ijumaa tarehe 19 June 2015 ambako watia nia hao walijitambulisha kwa majina, CV zao na kuweka hoja zao za kwanini wanatia nia jimbo la Songea Mjini.
Kinachooonekana zuio hilo limekuja mara baada ya Mgombea mmoja ambaye alijitambulisha vizuri sana na kujenga hoja za maana ambazo zilionyesha mwiba mkali kwa watia nia wengine na baadhi ya madiwani wa chama hicho hapa Jimboni na watu waliohudhuria pale walikoshwa sana na huyo mtia nia mpaka leo jamaa amekuwa gumzo na kubadilisha kabisa upepo wa ubunge jimbo la Songea mjini na akipitishwa jamaa huyo tuna uhakika wa CDM kuchagua jimbo hili sina haja ya kumtaja jina maana nitakuwa kama nampigia debe maana saa hizi wako kwenye harakati za kuchagua chama.
Nawaombeni sana viongozi mumsimamishe mtia nia anayekubalika na wananchi wa jimbo la Songea na sivinginevyo maana kuna tetesi kwamba viongozi kuna mtia nia wanataka kumbeba
mwananchi jimbo la Songea mjini.
CCc: Tumaini Makene

Last edited by a moderator: