GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Mechi ikiwa inaendelea Wao (Mashabiki wao) huwa Wanashangilia kwa Kugeuka nyuma ( kutuonyesha Makalio yao ) kisha Wanabong'oa, Wanaganda kidogo, Wanayatikisa na kuendelea Kushangilia.
Mashujaa FC hakika kwa Sisi Vijana wa Pwani (tuliozaliwa na Kukulia) Dar es Salaam tafadhali mkija Dar es Salaam kucheza na Simba SC tukiwatania nayo msikasirike na kuanza Kutupiga ikizingatiwa Timu yenu ni ya Jeshi (JWTZ) na Mlezi wenu Mkuu ni Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango.
Mashujaa FC MAPIGO NA MWENDO!!!