Kwa nini unaichukia/unaipenda Israel: Sababu zangu sita

1.Ubaguzi
Ubaguzi ni dalili ya woga na kutojiamini hii kitu ipo sana kwa hawa jamaa
2.Ugaidi
Hawa jamaa ukisoma global events utaona wao ndio waanzilishi wakubwa wa terrorism
Na hawakuanza leo tangu enzi za mitume wameuwa mitume wengi akiwemo Muhammad AS bila kusahau walivyomsulubu Yesu AS

3.Kutawaliwa
Hawa jamaa pamoja na umaarufu wao lakini hawajawahi kuwa World Super Power
Siku zote wamekuwa watu wa kuburuzwa na kutawaliwa na mataifa kama
Roman Empire
Greek Empire
Ottoman Empire
Iran Empire

4. Ufisadi
Jamii yao inaongoza kwa ufisadi
Mtu kama Ariel Sharon na damu yote aliyomwaga eti anapewa Nobel Prize
Ni wawekezaji wazuri ktk biashara za Riba, Ulevi, Kamari, Umalaya, Sigara, na Silaha
hakuna mazuri nje ya haya...
 
Mzee utakua na Bipolar Disorder.....huna definitive assertions....sentensi tatu za mwanzo ulizotoa ni contradictions...taifa "teule" lilibarikiwa kuliko mataifa yote haina maana ni context ya "superior" inaonesha wewe sio mwaminifu umeamua kupinga makusudi...

Kwanza sio Ben Gulion ni Ben Gurion..please update your database..pili imani binafsi ya kiongozi wa taifa haina uhusiano na wananchi wake..Gurion kua atheist has no correlation with Israel as a nation whatsoever....

Nimekuomba u-admit kua umekua bias kuisifia Israel kama taifa teule na kali kuliko yote duniani ku-solve,ubunifu,innovation,etc...wakati hayo yote ni mataifa mengine yanaongoza kwa mbali kabisa...kwa jamii kama ethnic group jews will never touch Japanese au Anglo-Saxons au Aryans..namba zinaongea..ndio maana nakwambia wewe umetumia subconcious sentiments zako ulizozipata tangu ukiwa mtoto kua bias namna hii....Israel bado sio developed nation,ni third world country sasa sijui unatumia matope kuipeleka sawa na level za Germany au Japan,I wonder...

Mzee naomba tuachie hapa.Let us agree to disagree,nadhani wewe ndio umeshinda.Haya,Israel hoyeeeeeee!Happy now?
sawa...
hakuna mchanganyiko wowote hapo...
kama tunaagree kudisagree basi neno kuwa mmoja kashinda linakanusha conclusion ya kuagree kudisagree.

siku njema boss, nilikuwa sishindani na wewe, nilikuwa natoa maoni yangu juu ya speculations zako juu ya uelewa wangu.
ni mkristo ninayeamini israel ni watu kama mtu yoyote. na Paulo aliweka sawa hilo aliposema Yesu aliondoa kiambaza kilichokuwa kinawatenga wanadamu wamataifa na waisrael. sasa hakuna cha muisrael wala myunani wala mmataifa.

ila hapa najadili political israel na jinsi wanavyopambana na changamoto zao.

NINAWAKUBALI SAANA. Kuwakubali hakuwafanyi wanadamu wengine kutokuwa na uwezo...
 
Sawa...Israel hoyeeeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom