hakuna swali ambalo halijibiki hapo mkuu, naomba nikutoe wasiwasi.Najua nimekuonea kwa swali maana hata mchungaji wako. Au Padre wako. Na hata papa Francis. Wote wakusanyike hawawezi kujibu.
amina...Naipenda Izrael kwa sababu kiimani hata mimi ni mwana wa Izrael.
kijana anataka kujaribu bahati...Hakuna nchi duniani zenye ubaguzi kuhusu ndoa kama israel,saudia na nchi zingine za kiarabu,wahindi, warusi na wajerumani tena mtu mwenyewe mu afrika ndo ukaoe kwao WANAKUUUA CHAP SO pambana na k za hapa hapa
kijana anataka kujaribu bahati...
mbona Musa alioa mwanamke mweusi, sio mbaya hata sisi tukioa vimwana wao.
mapenzi hayana mipaka ya kijiographia au kabila.
Israel ni Taifa masikini linaloishi kwa kutegemea misaada kutoka Marekani, hawana uwezo wakutengeneza hata toothpick.....hebu niajie bidhaa moja iliyotengenezwa na Muisrael kutoka pale TEL AVIV au HAIFA......Siipendi nchi ya Israel kwa sababu eti iliwahi kutabiliwa au inakaupendeleo kidogo kuliko wanadamu wengine wa mataifa mengine hapana.
bila kujali ni kweli au sio kweli, naipenda israel kwa sababu ...
1:inajua kujisimamia na kutatua matatizo yake...
2:Haina maneno mengi ila kila tatizo inalolikabiri inajibu kwa vitendo.
3:Waisrael wamewekeza kwenye matokeo ya mwisho. Wako tayari kwa gharama yoyote ila kile walichopanga kifanikiwe.
4: Hawawezi kuhairisha mipango yao kwa sababu mtu flani au taifa flani haipendi au haimfurahishi.
5:Ukiwahujumu, wanauwezo wa kutumia matajiri wao, kununua hata kampuni yako au media house yako na kuineutralize moja kwa moja au kinyume nyume.
vipi wewe, kwa nini huipendi au unaipenda israel?
Bwana Mtale na Midimu yaani huu uzi wako ni wa kidunia ila majibu yako ni ya Kidini..na unajua Circular na religion are two oxymoronic items...ningekuelewa zaidi kama post hii ungeiweka kwenye platform ya dini....
tatizo nyie wakristo mnadhani dunia ina subscribe kwenye kitabu kinachoitwa biblia..hicho kitabu ni chenu wewe na wakristo wenzio..kama hii post umeileta kwenye jukwaa la circular setting kama hivi kwanini tusidiscuss bila kuhusisha dini zenu?Tuiangalie Israel kama taifa la wanadamu kama wanadamu wengine bila kuangalia hizo hekaya zao za hivo vitabu vyenu ili tuweze kua kwenye level playing field?
Au ungetoa angalizo mapema kabisa kua jamani tudicuss kwa kutumia msingi wa biblia na dini ya kiebrania ya kikiristo...hapo tungekuelewa...lakini post imekuja katika circular setting,dini na vitu vya stori kama biblia ambavyo havina concrete scientific evidence of anything existing whatsoever tungeweka pembeni....
Its unfortunate mjadala umepoteza rationality kabisa umekua hekaya za kidini....you can do better than this...please
naona kwa Musa nimeenda mbali...
Lengo kuu (kama kwa kuhusisha story za maandishi ya kiebrania naifanya thread hii kuchepuka naomba radhi) ni hawa waisrael wa kisiasa hapo mashariki ya kati mkuu, ila kuna mwanadini mmoja ameleta changamoto nikajibu baadae nikagundua siko sawa na hapa sio mahala pake.
Ninazungumzia hawa wazayuni kama walivyoanzishwa na muanzilishi wao BEN Gulion hapo mashariki ya kati.
Kwangu mimi sio watu wa kawaida, wanavitu vya ziada kutokana na ushahidi wa maisha yao tangu wamekuwepo hapo mashariki ya kati
nadharia yako juu ya chanzo cha uelewa wangu wa israel ni mufirisi mkuu.Nimekusoma mkuu.
Ukiangalia source ya admiration yako kwa hii jamii ni historical....most definitely umezaliwa hujui lolote duniani kama wanadamu wengine ila ukawa influenced na Abrahmic religion writings and teachings..huko ndio uliwasikia kwa mara ya kwanza,ukawa influenced..ukawa mtu mzima,unawasikia kwenye western media ambapo wao ni owners..upo 100% influenced with all these....infact you are most likely kua biased on your view to this jewish society....your Abrahmic God commands you Christians to bless jewish society whether you like it or not....It is clear you will show bias and you have no choice..sijaribu kua mganga kugagua umefanyaje kuwapenda,ni hypthesis tu ambapo nina 50% chances ya kua right or wrong...
Hivyo I can see you will never be fair to judge all humanity on earth according to their God given merits....It is true jews populate Nobel prize winners,but also you see Africans 90% populate NBA teams,they can jump higher than the jews will ever jump....moral of the story is,if this society is so good in one item,the other is equally very very good in other item too...therefore it is not fair to judge these societies using the prism u are using...
As a most developed society,Israel can not sit on the same table with Germans,English or Japanese if we use emprical evidences...labda nimetaja generally using nationalist boundaries,tukienda kama ethnic groups,Aryans,Anglo-Saxons,Japs are ahead of these Israeli clowns....
Shida la Israeli ni kua wana promo sana,lakini tukija kwa real issues they are average at best..they are conmen of the human race...these guys are fake..
nadharia yako juu ya chanzo cha uelewa wangu wa israel ni mufirisi mkuu.
uelewa wangu wa Israel kiimani na huu wa israel kisiasa niliouleta hapa ni mutually exclusive events.
Hawa wa kisiasa, wamefanya miujiza mingi ya wazi ya matumizi sahihi ya ubongo wa mwanadamu ambayo kila mtu mwenye akili timamu zisizoegemea upande atanielewa.
mfano: how did they made the desert broom. kitu ambacho kilishindwa na waarabu kwa karne nyingi. na mengine mwengi.
Israel kufanya mazuri, haiwazuii wanadamu wengine mahala pengine kutumia ubongo wao kihalali kupambana na changamoto zao.
hapa wanajadiliwa waisrael.
swali linaombwe ...Mara yako ya kwanza kuwasikia Waisrael ni wapi?Na ulikua na umri kiasi gani..tuanzie hapo
swali linaombwe ...
kuwasikia waisrael wapi maana nimetoa makundi mawili ktk mitazamo miwili tofauti.
weka swali lisadifu maelezo uliyoquote mkuu.
waisrael wa kwenye bibilia niliwajua kutokea kwenye bibilia miaka.mingi ikiyopita sina utamaduni wa kutunza tarehe,muda na location ninapopatia maarifa.Mkuu swali mbona rahisi sana....hiyo mitazamo sijui miwili sijui mingapi mimi sijaiuliza....
Kurahisisha swali langu....soma hapa:
Mitale umezaliwa,hujui dunia ni nini,hujui mtu yeyote,ukakua,mara ya kwanza kusikia kitu au watu wanaitwa Waisrael ni lini na uliskia kutoka wapi na ulikua na miaka mingapi?
waisrael wa kwenye bibilia niliwajua kutokea kwenye bibilia miaka.mingi ikiyopita sina utamaduni wa kutunza tarehe,muda na location ninapopatia maarifa.
waisrael hawa tunaowajadili walioanzia vuguvugu lao huko poland vijijini, nilijifujza katika historia ambayo iko antagonistic na hao wa kwenye bibilia japo kuna connection kwenye mizizi yao.
nadhani haya maelezo yamekuelea.
karibu kwa hoja yako mkuu.
hakuna dini inayosema hao jamaa ni superior race.Hapo ndio damage ilitokea...uliwajua through dini teachings,thats all the damage occurred.....Jews as a superior race as peddled by the Abrahamic religion was subconsciously fed to you while you were a child...that's it.
Na dini ni ubaguzi at its very root...utajifanya kua unajua difference between circular jews na religious jews....ni sawa,ila your subconsciously bias sababu tayari ulishakua damaged na their dini teaching to begin with..just be honest usiwe muongo...you will deny but you know where you bias comes from...own it please!
hakuna dini inayosema hao jamaa ni superior race.
umechanganywa na waliojichanganya kuhusu ukweli wa waisrael kwa muktadha wa maandiko.
ndio maana naamini na wewe umekuwa brainwashed bila kujua unachokisema.
na hadi sasa wewe ndiye unayesema hayo ila sio mimi
bibilia inasema israel ni taifa teule. selected. ila sio superior kuliko race nyingine.Mzee unaanza unafiki na kua dishonest...mpaka unashangaza....eti hakuna dini inayosema jews ni superior race...hivi mzee upo serious kweli au unajitoa ufahamu makusudi?
Biblia waliyoiandika wao inasema Waisrael ni taifa teule la Mungu na Wafilisti ni watu wa Mataifa (meaning ni second class citizens)..biblia hiyo hiyo inasema atakae enda kinyume na taifa la Israel amelaaniwa,na mengine mengi ya kibaguzi kutoka kwa huyo Mungu wenu mwenye muda wa kuandika vitabu....mtoto mdogo akielezwa haya subconsciously anaambiwa Israel ni taifa teule,kama taifa ni teule watu wake ni wateule,ni watu special and by negation the rest of the world sio special na sio wateule....
Ulivyo mnafiki unasema biblia haisemi Israel ni superior/special race?Una high level of dishonesty.
Unazungumzia being brainwashed?Kuna brainwashing tool on this planet zaidi ya dini followed by controlled western media?
Hebu kua honest atleast for once
bibilia inasema israel ni taifa teule. selected. ila sio superior kuliko race nyingine.
Mungu kwa sababu zake aliwqchagua kama chombo cha kufikishia ujumbe wake ili hatimae human race yote imtambue.MAANA MUNGU alimuumba mwanadamu na sio mwanadamu na waisrael.
ndio maana nasema wewe unaongea uzoefu wako na ufahamu wako sio wangu.
kama kuna dini inasema hayo labda uwaulize hao watakupa unachotaka.
heshima aliyowapa hao jamaa kuwa carrer wa ujumbe wake kwa wanadamu haikubadikisha dna zao na kuwafanya kuwa superior.
utaratibu wa MUNGU ni uleule kwa waisrael na waisrael wa kiroho na wanadamu wote wanaomkubali.
ikiwa ...... mimi nita....
if..... then...
usiongelee watu usiowajua na kuutag uelewa wako kwenye uelewa wqngu juu ya waisrael unakuwa unafeli mkuu.
ndio maana hapa nimeongelea political nation and the way they solve their problems intelligently as human beings not superior being.
Hapa nazungumzia ISRAEL AMBAYO FOUNDER WAKE NI ATHEIST BEN-GULION.
Nazungumzia Israel ambayo iko nyuma kwa asilimia 5 ya kanada kama nchi ambayo ni most educated country in the world.
ukilinganisha changamoto wanazopitia na mambo wanayoyafanya na cyangamoto wanazipitia inanipa sababu zile nioizoziweka pale juu.
hapo nadhani sio suala la unafiki bali ni flawed understanding yako juu ya kinachojadiliwa mkuu na speculations zako juu ya nijachoamini.