Kwa mfano kila mwana JamiiForums mwakani ( 2025 ) wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu akipewa nafasi ya Kumuuliza Swali Rais Samia Wewe utauliza lipi?

Hivi ni kwanini CDA (Wakala wa majengo) Wanavunja sana maghorofa pale Kariakoo?
Nimecheka hadi basi. Wewe jamaa una Akili sana na najua kwanini utamuuliza hili Swali kwani kuna zinazosema......ngoja ninyamaze Kwanza ili niendelee nami pia Kutunga Swali langu la Kumuuliza japo najua kuna uwezekano nikimuuliza Siku hiyo hiyo natafutiwa Taifa langu Bandia la kwenda Kuishi.
 
Taifa lako au tunakusindikiza pale Kinondoni tukakulaze kwenye nyumba yako ya milele? 😂😂😂😂
 
Hivi ni kwanini CDA (Wakala wa majengo) Wanavunja sana maghorofa pale Kariakoo?
CDA? Nadhani ulimaanisha TBA. Hata hivyo sidhani kuwa kazi ya kuvunja majengo yasiyokidhi viwango vya Sasa vya hadhi ya Kariakoo ni kazi ya TBA. Kwani TBA ni wakala wa majengo ya serikali.
 
Aisee wanavyofanya Mkuu mpaka huruma 😂😂😂
Of-course ni TBA Wakala wa majengo
 
Back
Top Bottom