Mwanaume kulia hapana mbele ya public msiba wa baba yakoMkuu unajua uchungu wa kumpoyrza baba! Hata uwe Mzee kama ukimpenda utalia tu... Kumbuka hutamuona tena!
makabila mengine wangentatandika vibao hadi basi wangemtoa chap pale
kijana wa kiume ukilia kama bwege ndugu wanawaka wewe usitutanie kuwa wewe ndio unatakiwa kutuelekeza taratibu za kuzika baba yako azikiwe wapi nini kinatakiwa unalia lia kama mbwa hapa nyoko zako wazee wanakupiga makofi na viboko wazee wa kimila wanakwambia njoo tuongee huku gizani pole sana ukienda huko kipigo utakachopata huko utajuta kuxaliwa na kufahamu ndugu zako awe mombasa nk
Ashukuru yale mazishi serikali ilishika ingekuwa mtaani makabila ya mikoani mbona wangemwita Pembeni na kumpa kipigo cha mbwa koko na wangeteua msemaji mwingine wa kutoa shukrani ya msiba kwa niaba ya familia wakati huko wamempeleka gizani wamempiga hadi kujinyea kwa kwa kudhalilisha familia kama msemaji
Makabila yote ya mikoani Tanzania bara ukipewa kuwa msemaji kuongea kwa niaba ya familia huwezi kutungua kilio kama huyo mtoto wa mwinyi angenyakuliwa kama mpira wa kona na ndugu jukwaa kuu kuwa kazimia kwa uchungu alimpenda sana marehemu baba yake Mwinyi mwingine ana take over haraka atoe shukrani za familia lakini huko wamekimbia naye kipigo atakachopata huko gizani lazims ataishia ICU muhimbili kuwa nyoko wewe kisa cha kutudhalilisha mbele ya kadamnasi nini kama ulikuwa huwezi kutoa shukrani si ungetuambia tutafute ndugu mwingine kwani ulizaliwq peke yako mshenzi wewe
Akichofanya kulia lia pale jukwaani hajautendea haki uanaume wake angepisha wengine kama hawezi