Kwa jicho la mbali, Makonda alikuwa anajijenga yeye na sio chama

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,924
3,650
Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi.

Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni kwamba vigogo wa CCM na mtu yeyote mwenye upeo mkubwa walishaona Makonda anajijenga yeye kwa kupitia mwavuli wa katibu mwenezi sababu ghafla mijini na vijijini jina lake ndo linaimbwa kuliko la ccm kwenye siasa hii ni hatari kubwa sana

Makonda alikuwa hajengi chama kama wengi walivyokuwa wanadhani bali, na kama angeendelea vile hata samia angempita kwa umaarufu na ingekua ni kazi ngumu tena kumzibiti Rais amefanyia kazi ushauri wa watu waliochukizwa tokea mwanzo alipomteua kuwa mwenezi wa ccm

Kuna kashfa ya kumtisha Salah ambayo hakuna aliyethibitisha bali ukweli kwamba mbwa mzee huwezi mfundisha sheria same kwa makonda hawezi acha tabia zake za majivuno, visasi, matumizi makubwa na bila huruma ya fedha za umma (extravagant), kuonea na kutishia watu hizo zipo damuni
 
Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi.

Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni kwamba vigogo wa CCM na mtu yeyote mwenye upeo mkubwa walishaona Makonda anajijenga yeye kwa kupitia mwavuli wa katibu mwenezi.

Makonda alikuwa hajengi chama kama wengi walivyokuwa wanadhani bali, na kama angeendelea vile hata samia angempita kwa umaarufu na ingekua ni kazi ngumu tena kumzibiti Rais amefanyia kazi ushauri wa watu waliochukizwa tokea mwanzo alipomteua kuwa mwenezi wa ccm

Kuna kashfa ya kumtisha Salah ambayo hakuna aliyethibitisha bali ukweli kwamba mbwa mzee huwezi mfundisha sheria same kwa makonda hawezi acha tabia zake za majivuno, visasi, matumizi makubwa na bila huruma ya fedha za umma (extravagant), kuonea na kutishia watu hizo zipo damuni
Kwahiyo Salah wa GSM ndo wameikamata Ikulu? Kwamba Ikulu imegeuka tena kuwa PANGO LA WALANGUZI?
 
Hilo tukio la salah nimesema halina uthibitisho

"ghafla mijini na vijijini jina la makonda ndo linaimbwa kuliko la ccm kwenye siasa hii ni hatari kubwa sana"
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Alikuwa anajijengeje? Nani katika Taifa letu naye alikuwa hamfahamu Mheshimiwa Makonda na namna anavyo chapa kazi na kuwa karibu na wananchi? Mheshimiwa Makonda amefanya kazi kama alivyopewa na sasa ameaminiwa na kupewa imani na Mheshimiwa Rais ya kwenda kumsaidia mkoani Arusha kama mkuu wa Mkoa yaani Rais wa Mkoa.
 
Chawa pro max kamwe siwezi kukujibu kwa hoja chawa
 
It's Over!

20240314_151100.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Alikuwa anajijengeje? Nani katika Taifa letu naye alikuwa hamfahamu Mheshimiwa Makonda na namna anavyo chapa kazi na kuwa karibu na wananchi? Mheshimiwa Makonda amefanya kazi kama alivyopewa na sasa ameaminiwa na kupewa imani na Mheshimiwa Rais ya kwenda kumsaidia mkoani Arusha kama mkuu wa Mkoa yaani Rais wa Mkoa.
Ni demotion au promotion?
 
Makonda hapaswi kuwa na wadhifa wowote ule.

Silaha pekee aliyonayo Makonda ni kutengeneza controversies ili asikike. Huko anakokwenda hakuna jipya analokwenda kufanya zaidi ya kwenda kutengeneza matukio.
 
Hilo tukio la salah nimesema halina uthibitisho

"ghafla mijini na vijijini jina la makonda ndo linaimbwa kuliko la ccm kwenye siasa hii ni hatari kubwa sana"
Kwanini ulete jukwaani suala ambalo unajua halina uthibitisho. Si ungekaa kimya.
 
Kama anasaidia watu lazima watu wampende tu.ametatua changamoto nyingi sana za wananchi.Mama kachukia kupendwa makonda kaamua kumficha kwenye eneo dogo.kwa uzalendo aliounyesha makonda kunauwezekano siku akawa rais
 
Hakuna alichosaidia, ni takataka tu
 
Back
Top Bottom