Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 1,699
- 3,073
Kuna siku nyingine zinakuwa zimepoa sana kwaiyo kawaida tu, labda ifululize wiki nzima bila hata mteja hapo kidogo waweza jiuliza kwaniniWakuu habari,
Hivi hii hali ya baadhi ya siku unakuta kuanzia asubuhi hadi jioni hupati wateja kwenye biashara yako badala yake wanakuja wanaoulizia ulizia tu na kuondoka
😀
Hivi hii hali huwa inawakuta na ninyi?
Vipi mnakabiliana vipi na stress za hiyo siku?