Kutokana na changamoto ya Ushoga, nini kipo kipo nyuma ya pazia Dunia?

April7

Member
Aug 5, 2019
36
70
Wakuu habarini, moja kwa moja niende kwenye mada hisika. Duniani kumekuwa ni mahali penye changamoto za kila aina, binadamu akiwa kama kiumbe icon wa ulimwengu amekuwa mhanga mkuu wa changamoto zilizopo.

Kama kichwa cha habari kilivyo, karibia kila sehemu/nchi wakati huu ushoga umekuwa si kitu cha kushangaza tena. Nimekuwa nikijiuliza maswali lukuki kuhusu hili janga na namna mataifa makubwa duniani (mfano; Marekani) yamekuwa yakitumia ushawishi mkubwa kwa jamii kujihusisha na jambo hili la ushoga.

Miongoni mwa maswali ambayo nimekuwa nikijiuliza ni manufaa gani ya moja kwa moja wanayopata washawishi pindi wanapotumia muda wao kuwashawishi wana jamii kujiingiza katika mambo haya?

Kwa maana haiingi akilini mimi niwashawishi wanaume wawili waingiliane kinyume na maumbile alafu ninufaike. Inashangaza kuona mpaka baadhi ya nyumba za ibada zimeingia katika hili jambo kwa kuwahalalisha watu wa jinsia moja (kuwafungisha ndoa).

Kwa tathimini zangu binafsi, nilipata jibu hili: Ulimwengu tunaoishi umekaa kimahesabu, na hesabu ili iweze kukokotolewa inahitajika kanuni. Hivyo basi kutokana na kanuni za kimahesabu ya ulimwengu zipo #codes ambazo zinafungua baadhi ya njia fulani hapa ulimwenguni.

Wapo ambao wanatoa kafara za damu kwa kuwaangamiza binaadamu wenzao kwa lengo la kufanikisha mambo ya kama vile, kupa pesa na uongozi. Hapa tunagundua kuwa kutoa kafara ni code ya kufungua njia fulani ya mafanikio hapa duniani.

Kwangu mimi ushoga nauchukulia kama code fulani hivi kubwa inayofungua njia kubwa hapa ulimwenguni na ndio maana zinatumika nguvu kubwa za ushawishi kwa jamii. Nilishawahi kusikia (sijathibisha) kuwa kuna watu ambao hawapo katika mazingira ya ushoga, yaani ni wanaume marijali kabisa ambao wanamiliki familia lakini nyuma ya pazia wanaingiliwa na wanaume wenzao kwa masharti fulani hivi katika mambo ya kiimani, tena wanakuwa na siku maalimu ya kufanya hivyo.

Mimi sifahamu mengi, na inawezekana sifahamu chochote kuhusu hili jambo. Naomba mwenye uelewa na haya mambo anielekeza na kwa faida ya wengine.
 
Ushoga ambao ni chukizo kwa Mungu unapigiwa chapuo na waabudu shetani ili kujenga uasi (rebellion) wa wanadamu kwa Mungu Mkuu na kumtukuza ibilisi. Kwa hiyo kuna nguvu kubwa ya ushawishi kwa kutumia watu maarufu na fedha na sanctions kwa wale watakaokaidi kuunga mkono ushoga ni hayo tu, mdogo mdogo tunaelekea utawala wa mpinga kristo na alama ya mnyama.
 
Nyie mnaopost post kuhusu ushoga iwe kiuponda au kuusifia mnaupa promo Sana kaeni kimya.
Wewe unayekataa usiwekwe humu ndiye unayeufadhili.

Inamaana we una akili sana kuliko Mungu aliyesema Mla tope hataingia mbinguni

Je hakujua kwa kukataza huko tena kwa kauli isiyopepesa "Mfi**ji" ataufadhili huo ujinga

Tena huna tofauti na wahenga wapumbavu wanaowaficha watoto wao wa kiume au wa kike kuwaeleza kinagaubaga huo ushetani na madhara yake hadi wapevuke kumbe ndipo wanawaharibia kabisa watoto nidhamu ya kuheshimu miili yao, hatimaye kuja kustuka wanakuwa wameshachelewa.
 
Nyie mnaopost post kuhusu ushoga iwe kiuponda au kuusifia mnaupa promo Sana kaeni kimya.
Sio kweli mkuu, kumbuka wakati ugonjwa wa UKIMWI unaingia Tanzania miaka ya 1980s watu wengi walikuwa wanakufa kwa kukosa elimu, leo hii vijana wengi mashoga historia zao zinaanzia ngazi ya familia wangali wadogo kabisa sababu kuu ni kutofahamu tatizo. Lakini tunavyopeana elimu itachangia kupunguza ikiwezekana kulimaliza kabisa hili janga.
 
Acheni ujinga wale mashoga wa majuu hawana nguvu za kiume kabisaaa!! ...wengine hawanakikojoleo sasa nyie mnakuja na zenuu! ...waafrica weusi majinga sana marijali pure pia mnatamani pigwa nyuma!! hamna akili!

Wazungu wao wanapigana miti kwenye ''nyaa!! kwa nyaa!! ni kwa ajili ya maagizo ya miungu wao wa olympian gods ili waendelee kuwa kwenye peak ya mafanikio Duniani! mweusi ukifanywa unamsaidia mzungu kukutawala!!

Wazungu wana sababu tena wakikujua unafanywa wanakupa dawa ili undelee kusikia utamu wa nyuma kupitia, maziwa ng'ombe wa kisasa, mayai, mikate nyama zakopo na viazi mviringo zile mbegu zilitoka ulaya!! ndo maana wanaume wa kanda ya ziwa hawali chips!!

Ukiona mwanaume wa kanda hiyo anakula chips jiulize sana!! Kipunguni hukuti haya makitu!
 
Duuh..mbona maelezo hayaeleweki.?

Ebu fafanua vzr..?kwa mustakabari wa kizazi hiki.

#MaendeleoHayanaChama
 
NYUZI za Kibwabwa bwabwa huwa hazina mashiko saaaana , nadhani Moods pigeni chini hizi takataka za KICAMEROUN
 
Hii ni kuonyesha namna gani dunia yetu ipo ukingoni kabisa,wenye hekima wote wanajua muda uliobaki ni mdogo Sana,hatuna miaka mingi kabla muhukumu ulimwengu huu ambaye ni YESU Kristo mwenyewe kuonekana katika mawingu,kama vile watu wa Galilaya walivyoambia Mndo1:9_10, huyu YESU mnayemuona atarudi jiinsi hiyo hiyo.
 
Trust me hata watu waliishi miaka ya stone age walijua dunia ipo ukingoni kuisha..
ila nakuahidi wewe, Utakufa bila dunia kuisha, Wajukuu zako na wajukuu zao watakufa wataiacha dunia.
Yani Dunia ndio kama inaanza
 
Back
Top Bottom