maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
barcelona vs ruvu shooting
Ninaamini Ndugu Zitto anafaa katika nafasi ya uwaziri kwa sasa na si kwa nafasi anayoitamani ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania. Hii si kwa sababu ya umri bali namtazama kama binadamu anayehitaji kuunganisha mambo kadhaa ili aweze kuisimamia nchi. Nitampa kura yangu mtu ninayefikiri kuwa baada ya kuingia Ikulu kesho yake nitaamka nikiwa na kichwa changu. Fikiri huyu tuliyempa kwa 'tsunami', leo hakuna mwenye uhakika kuwa akidhulumiwa uhai wake atasimama atoe kauli! Labda uwe swahiba wake. Sirudii jinai hiyo.
dr slaahii nidharau kubwa.huwezi kupambanisha barcelona fc na lipuli ya iringa.