Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
339
1,244
Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana.

Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru.

Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.

Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.

Kuna ajali nyingine naambiwa imetokea huko Kikatiti leo jioni ambapo bodaboda amevunjika miguu kutokana na mwendo kasi.

Godbless Lema alikuwa mbele ya muda
 
Mwingine uyu unaweza zani ana tengeneza gari ,kumbe ndo safari yake iliishia hapa
 

Attachments

  • GKzlovkX0AIBz66.jpeg
    GKzlovkX0AIBz66.jpeg
    125.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom