Tetesi: Kuna Redio inawamendea B12, Adam Mchomvu na DJ D Ommy

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,438
8,255
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya mazungumzo na baadhi ya watangazaji hao ili kuwakwapua.

1715280937712.png

Kifupi kuna utambulisho mkubwa Unaweza kufanyika wiki ijayo. Muda huu vikao vinafanyika Mawinguni kuzuia maharamia wa meli ya Wagiriki wasije kuzamisha JAHAZI na kutokomea na "Treasure' Inadaiwa kuwa sio watangazaji wote walifurahia kutolewa XXL kwenda JAHAZI, biashara yao ipo kwenye burudani zaidi na sio Vipindi vya jioni na baadhi wanataka kipindi kibadilishwe jina ili kutengeneza 'Legacy' yao yani kifupi walevi wa ile bar wanaogea sana hadi naanza kuwaona waongo, Mawingu ni chama kubwa ni ngumu kutetereka sababu wanajua wachokifanya.

Walevi wapuuzwe.

SANUKAnaCHAPO
@chapo255
 
Kusema kweli Clouds Fm nimeanza kuiskiliza 2011 hapo ndo nimeanza kujielewaelewa natoka shule nakaa karibu na radio lakin had leo hii ubora wake uko palepale nimejaribu kusikiliza radio zingine zimenishinda naona kama wanacopy contents za Clouds.

Bdozen alipoenda Efm nikajua Xxl imeisha ila baada ya muda mfupi yule Kenedy alifiti vizuri sana yan siku niliyoskia Dozen anarudi nikaona ni kama anakuja kuharibu kipindi.

Mtu ambae anaweza kuachana na Clouds na pengo likaonekana kwa sasa ni Millardayo jamaa amekua brand kubwa sana anaweza kusimama bila kuajiriwa media yoyote
 
Toka kipindi kilee Cha Africa bambataa na Mzee kinyau wee wacha kabisaaaa
 
Wasafi, e fm na crown ni redio za mitaa ya dar tu clouds fm inasikika nchi nzima. Hivyo viredio vikasome
 
Kusema kweli Clouds Fm nimeanza kuiskiliza 2011 hapo ndo nimeanza kujielewaelewa natoka shule nakaa karibu na radio lakin had leo hii ubora wake uko palepale nimejaribu kusikiliza radio zingine zimenishinda naona kama wanacopy contents za Clouds.

Bdozen alipoenda Efm nikajua Xxl imeisha ila baada ya muda mfupi yule Kenedy alifiti vizuri sana yan siku niliyoskia Dozen anarudi nikaona ni kama anakuja kuharibu kipindi.

Mtu ambae anaweza kuachana na Clouds na pengo likaonekana kwa sasa ni Millardayo jamaa amekua brand kubwa sana anaweza kusimama bila kuajiriwa media yoyote
Dah kweli tumetofautiana mtu alifanyaga niache kusikiliza XXL NI huyo Kennedy yaani jamaa simkubali kabisa kipindi kinakua na utoto na vitu vya hovyo....
To be honest B dozen ndo mtu hatari Sana kwenye Ile show ....

Natamani ungeisikiliza XXL ya Dozen, Mchonvu na DJ fety
 
Niliiskiliza hiyo
 
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya mazungumzo na baadhi ya watangazaji hao ili kuwakwapua.

View attachment 2986142

Kifupi kuna utambulisho mkubwa Unaweza kufanyika wiki ijayo. Muda huu vikao vinafanyika Mawinguni kuzuia maharamia wa meli ya Wagiriki wasije kuzamisha JAHAZI na kutokomea na "Treasure' Inadaiwa kuwa sio watangazaji wote walifurahia kutolewa XXL kwenda JAHAZI, biashara yao ipo kwenye burudani zaidi na sio Vipindi vya jioni na baadhi wanataka kipindi kibadilishwe jina ili kutengeneza 'Legacy' yao yani kifupi walevi wa ile bar wanaogea sana hadi naanza kuwaona waongo, Mawingu ni chama kubwa ni ngumu kutetereka sababu wanajua wachokifanya.

Walevi wapuuzwe.

SANUKAnaCHAPO
@chapo255
Hizi habari mnazitoaga wapi mbona ni kweli mmoja kashatoka...
 
Back
Top Bottom