Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,395
Wakuu,

Katika kupita mitandaoni nimekutana na hiki kitabu wanaita "The Urantia book" Urantia inamaanisha "Planet earth".

Hiki kitabu wanasema kina majibu ya mambo mengi sana,na waliokisoma wanasema ni kitabu ambacho kinakufanya uwe mtu bora sana ambacho kinamrudisha mtu katika kuthamini watu, uhusiano wako wewe na Mungu, na kina majibu mengi katika Sayansi, siasa, Philosofia na historia.

Haijulikani ni nani alikiandika ila huyu mtaalamu wa afya ya akili anaitwa W.S Sadler aliyekuwa akifanyia kazi Chicago alitokewa na viumbe fulani kati ya mwaka 1924 na 1935 ndio wakawa wanampa hayo maarifa,baadae ndio akakaa akawasimulia watu kadhaa ndio wakaunganisha hayo maandishi kuwa kitabu ambacho chapisho la kwanza lilitoka mwaka 1955.

Kitabu hiki kipo chini ya Urantia Foundation (www.urantia.org) ambayo ndio inatoa materials,inaandaa matukio na maelezo juu ya Urantia book.

Na ndio kitabu ambacho pia kina majibu ya kina juu ya miaka 18 ya upotevu ya Yesu ambayo haijaandikwa kwenye Bibilia, na katika kitabu hicho hakuna mahali wanasema Yesu alienda India kama ambavyo vitabu kadhaa vilidai.

Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu tatu;

1. The central and Super universe
2. The local universe
3. The history of Urantia
4. The life and teachings of Jesus.

Kitabu hiki hakina uhusiano na dini yeyote kwakuwa kinagusa nyanja tofauti tofauti kama nilivyoandika hapo juu.

Nimevutiwa kusoma kitabu hiki,Je kuna mtu humu JF ameshakisoma ili atueleze kilichomo ndani kwa ufupi?

images%20(7).jpg
 
Hahahaha! Jamaa yeye kapata uvivu wa kukisoma ili aje atupe summary, bali yeye anataka wengine ndio wasome ili wamwambie yeye kinahusu nini!

Labda kama hajui Kiingereza vizuri ndio wamsomee, ila kama anajua Kiingereza asome mwenyewe halafu atakuja kutupa mrejesho hapa!
 
Wakuu,

Katika kupita mitandaoni nimekutana na hiki kitabu wanaita "The Urantia book" Urantia inamaanisha "Planet earth".

Hiki kitabu wanasema kina majibu ya mambo mengi sana,na waliokisoma wanasema ni kitabu ambacho kinakufanya uwe mtu bora sana ambacho kinamrudisha mtu katika kuthamini watu, uhusiano wako wewe na Mungu, na kina majibu mengi katika Sayansi, siasa, Philosofia na historia.

Haijulikani ni nani alikiandika ila huyu mtaalamu wa afya ya akili anaitwa W.S Sadler aliyekuwa akifanyia kazi Chicago alitokewa na viumbe fulani kati ya mwaka 1924 na 1935 ndio wakawa wanampa hayo maarifa,baadae ndio akakaa akawasimulia watu kadhaa ndio wakaunganisha hayo maandishi kuwa kitabu ambacho chapisho la kwanza lilitoka mwaka 1955.

Kitabu hiki kipo chini ya Urantia Foundation (www.urantia.org) ambayo ndio inatoa materials,inaandaa matukio na maelezo juu ya Urantia book.

Na ndio kitabu ambacho pia kina majibu ya kina juu ya miaka 18 ya upotevu ya Yesu ambayo haijaandikwa kwenye Bibilia, na katika kitabu hicho hakuna mahali wanasema Yesu alienda India kama ambavyo vitabu kadhaa vilidai.

Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu tatu;

1. The central and Super universe
2. The local universe
3. The history of Urantia
4. The life and teachings of Jesus.

Kitabu hiki hakina uhusiano na dini yeyote kwakuwa kinagusa nyanja tofauti tofauti kama nilivyoandika hapo juu.

Nimevutiwa kusoma kitabu hiki,Je kuna mtu humu JF ameshakisoma ili atueleze kilichomo ndani kwa ufupi?

View attachment 2585538
Gifted people ni watu ambao wamepata bahati ya Kuzaliwa kama Binadamu lakini wako AWARE NA LIFE PURPOSE YAO.

Hawa watu wako very powerful...kwa Sababu SPIRIT ZAO ZINAWALETEA MESSAGE KAMA ZINAVYOTAKIWA KUWA!

SPIRIT za watu kama hao zinapokea Communique kutoka kwa fellow beings kwa Sababu wanaweza kuzipokea.

Hawa wanaitwa Spiritual Enlightened people!

Na wanaweza kuwasiliana na Other Beings ambao huitwa A Highly Evolved Beings-Hawa wako wengi sana na wanatuzidi sana uwezo..!

So it good to read the Book!
 
Urantia Book nimeisoma mara tano ,au mara kumi,au mara kumi na tano,au zaidi.
Kuhusu hiki kitabu nadhani No Comment is the best comment.
There is nothing special about the book. There are some inaccuracies.
Jambo moja ni significant. Wanasema ata the Center of creation,there an Island ,a Physical Island called "Paradise" ambako Mungu anaishi. Hili jambo linapata support kwenye Maandiko mengine .
Nilikuwa New Mexico( Marekani),nimealikwa katika nyumba ya mtu,kwenye shelf niliona pale kitabu,"How the Urantia Book was written". Hiki kitabu nakitafuta kwenye internet,sikionj,jambo ambalo linanifanya nifikirie labda Urantia Book imeandikwa na watu wahuni.
Haya mambo labda ni somewhat important lakini kama unataka spirituality labda usome Tsongkapa,The Great Ecposition of Secret Mantra au Six Yogas of Naropa.
I notice Ile posting iliyokuwepo hapa sasa hivi ya yule mtu anatrack safari za ndege ya Rais Samia imeondolewa JF. Nilikuwa nimedown ile app ya Live Flighf Tracking,nilikuwa sasa naitafuta namba ya ndege ya rais wetu mpendwa( mpendwa na Dunia yote).
 
Gifted people ni watu ambao wamepata bahati ya Kuzaliwa kama Binadamu lakini wako AWARE NA LIFE PURPOSE YAO.

Hawa watu wako very powerful...kwa Sababu SPIRIT ZAO ZINAWALETEA MESSAGE KAMA ZINAVYOTAKIWA KUWA!

SPIRIT za watu kama hao zinapokea Communique kutoka kwa fellow beings kwa Sababu wanaweza kuzipokea.

Hawa wanaitwa Spiritual Enlightened people!

Na wanaweza kuwasiliana na Other Beings ambao huitwa A Highly Evolved Beings-Hawa wako wengi sana na wanatuzidi sana uwezo..!

So it good to read the Book!
Asante kwa ufafanuzi,ukiangalia mambo ambayo yameandikwa lazima itakuwa amewasiliana na watu wenye uwezo wa juu sana kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom