Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

Niongeze tu. Huyu anajiita Bilionea, Mfanyabiashara na Mwandishi wa Jamiiforums..Na si hivyo tu anajinadi kama msemaji wa CHADEMA.

Ni aibu kwa Maxence Mello kuwa na Waandishi wa Habari kama Erythrocyte ambao wanapotosha Umma.

Pamoja na hayo Lissu anaonekana?, kuwa na Usongo wa mawazo, viwewe, na kuweweseka (PTSD,Obsessive-compulsive disorder, phobia na panic disorder)-hii inawatokea wahanga wa kupigwa risasi n.k na ni kwasababu hiyo wataalam ama A mental health professional huwa wanawataka wafanye kile kinaitwa "exposure therapy'.

Lissu kwenda kuiangalia gari(hii sio mara ya kwanza) ni moja ya mchakato huo, hata kwenda kuwaona manesi, pia ni part ya therapy yenyewe. Risasi 16,32,40 yaani namba yeyote ile sio mchezo. Kutolewa kufuru mbaya sana.

Sasa ukichanganya na Ukichaa wake wa kawaida na PTSD inakua vigumu mtu kama huyu kuwa na cheo kikubwa kama Uraisi.
===================
Maandiko yako yanaonyesha kuwa akili zako zimechanganyika na haja kubwa
 
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.

Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati ya Wawili hao, imejulikana kwamba kumbe Nesi yule baada ya kuokoa Uhai wa Lissu alitimuliwa kazi.

Haijajulikana sababu hasa za kutimuliwa kwake, Bali ameomba msaada wa kisheria kwa Tundu Lissu kushughulikia kutimuliwa kazi.

View attachment 2993309

Mhanga mwingine wa Uhai wa Lissu ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mpoki Ulisubisya, Huyu alitimuliwa haraka sana baada ya kusaidia Lissu kupona, Inadaiwa ndiye alikuwa mtaalamu wa dawa za usingizi pale Lissu alipofanyiwa Upasuaji
To hell with Magufuli
 
Huna akili

Furaha yangu tu ni kuwa mwovu Magufuli yuko kwenye ziwa la moto
Kwamba ukisema sina hizo akili wewe ndio utaonekan unazo?😌

Habu angalia picha hii kwa Umakini. Muone alivyo👇🏿
screenshot_2024-05-17-16-50-32-1-png.2992664

Mwache afanya therapy yake. Huo ndio Ukweli. Kumuona nesi, kuangalia gari, yote hayo ni mchakato wa matibabu yake.

...halafu, mtu yeyote yule mwenye akili timamu kuwa na fikra ama furaha ya eneo la "ziwa la moto" ambalo kiuhalisia halipo, ndio Uwendawazimu wenyewe. Ushafika huko?

Labda useme Lissu anateseka kisaikilojia utaeleweka.
 
Lissu anaonekana?, kuwa na Usongo wa mawazo, viwewe, na kuweweseka (PTSD,Obsessive-compulsive disorder, phobia na panic disorder)-hii inawatokea wahanga wa kupigwa risasi n.k na ni kwasababu hiyo wataalam ama A mental health professional huwa wanawataka wafanye kile kinaitwa "exposure therapy'.

Lissu kwenda kuiangalia gari(hii sio mara ya kwanza) ni moja ya mchakato huo, hata kwenda kuwaona manesi, pia ni part ya therapy yenyewe. Risasi 16,32,40 yaani namba yeyote ile sio mchezo. Kutolewa kufuru mbaya sana.

Sasa ukichanganya na Ukichaa wake wa kawaida na PTSD inakua vigumu mtu kama huyu kuwa na cheo kikubwa kama Uraisi.
Huu upuuzi waeleze ndezi wenzako huko CCM
 
Kwamba ukisema sina hizo akili wewe ndio utaonekan unazo?😌

Habu angalia picha hii kwa Umakini. Muone alivyo👇🏿
screenshot_2024-05-17-16-50-32-1-png.2992664

Mwache afanya therapy yake. Huo ndio Ukweli. Kumuona nesi, kuangalia gari, yote hayo ni mchakato wa matibabu yake.

...halafu, mtu yeyote yule mwenye akili timamu kuwa na fikra ama furaha ya eneo la "ziwa la moto" ambalo kiuhalisia halipo, ndio Uwendawazimu wenyewe. Ushafika huko?

Labda useme Lissu anateseka kisaikilojia utaeleweka.
Mwehu tu wewe kila mwenye akili timamu anakupuuza
 
Kimsingi bibie alitafutiwa pakifukuziwa ,alihamishwa kwenda hospitali ya mirembe kutoka regional referral hospital

Mkurugezi wapale mirembe aka anza kumwomba mbwimbwi ,demu akachomoa akanza kuumwa miguu kosa akaomba ruhusa kwenda kutibiwa muhimbili akageuziwa kibao ntoro ,mpaka leo yuko home
Dah inasikitisha sana kama ni hivyo
 
kwan manesiterms wanaokoaje uhai wa mtu hajamuona hata dokta ? pili sidhani kama Lissu alifanyiea upasuaji hapa Tanzania , kuna namna Lissu atumika na ccmu kumchafua Jpm , hata zile skendo za Rushwa ukute ccmu hao hao maana haya matukio yanafuatana sana mpk napatwa wasi wasi
Magufuli alijichafua mwenye kwa kumwaga damu za watu wasiokuwa na hatia ndiyo maana anateseka huko Jehannam
 
AIsee inasikitisha sana ,aliyetoa order ya lissu kuuawa nae ameshatangulia , hawa wa sasa wana la kujifunza,ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga ,ya nini utoe uhai wa mtu kisa madaraka? Haya kiko wapi?

Weka namba ya Nesi miamala ianze kusoma.
Aliyetoa order ya kuuawa lisu ni mbowe yupo anagonga kvant tu.
 
Maelezo yanasema yule Daktari mtaalam wa dawa za usingizi, yeye aliachichwa kazi baada ya siku si nyingi baada ya tukio lile..

Bila shaka alipewaga maelekezo ya kumpa "usingizi feki" mgonjwa ili afe akakataa. Gharama yake ni kupoteza kazi yake..

Yule mtu (Magufuli) na mbwa wake kina Makonda, Ndugai walikuwa watu hatari sana..
Mbowe ndiye aliratibu mauaji ya lisu
 
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.

Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati ya Wawili hao, imejulikana kwamba kumbe Nesi yule baada ya kuokoa Uhai wa Lissu alitimuliwa kazi.

Haijajulikana sababu hasa za kutimuliwa kwake, Bali ameomba msaada wa kisheria kwa Tundu Lissu kushughulikia kutimuliwa kazi.

View attachment 2993309

Mhanga mwingine wa Uhai wa Lissu ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mpoki Ulisubisya, Huyu alitimuliwa haraka sana baada ya kusaidia Lissu kupona, Inadaiwa ndiye alikuwa mtaalamu wa dawa za usingizi pale Lissu alipofanyiwa Upasuaji
Ila Magufuli huko aliko Mungu anamuona
 
Kimsingi bibie alitafutiwa pakifukuziwa ,alihamishwa kwenda hospitali ya mirembe kutoka regional referral hospital

Mkurugezi wapale mirembe aka anza kumwomba mbwimbwi ,demu akachomoa akanza kuumwa miguu kosa akaomba ruhusa kwenda kutibiwa muhimbili akageuziwa kibao ntoro ,mpaka leo yuko home
Duuuhhh.

Mtu anapewa ruhusa ya matibabu halafu anakuja kuambiwa ni mtoro.

Kuna wenye roho mbaya, halafu kuna hawa wenzetu wa Tz...
 
sikiliza wewe, CCTV camera za eneo hilo zilikuwa nyumbani kwa Tulia Ackson, sasa kabla hutujakudhalilisha zaidi muulize Tulia zile camera ziliondolewa na nani?

Jf siyo sehemu rahisi ya kuandika kila ujinga, utaumia
Aliyesimamia zoezi la kuondoa cctv camera ni Kalemani na ndiye alitoa gari lilotumiwa na bashite na wauaji wenzake gari lilikuwa la Tanesco na walipofika Morogoro wakalitia kiberiti kufuta ushahidi wakaondoka.na gari lingene kurudi Dar es Salaam wakiamini kuwa wameshamuua Lissu. Kalemani ipo siku ata face huu muziki ndiyo maana siku hizi anaongea peke yake kama chizi fresh fulani hivi.
 
chadema hiki mnachokifanya sio siasa wallah..

chuki mnazopandikiza kwa raia juu ya serikali makini kipindi hiki cha mama yetu kipenzi cha wanyomge hakika zina mwisho
CCM hoyeeeeee ndyo kinachosikika kichwani na kwenye ubongo wako hapo sasahivi........Tunaongelea maisha ya watu na uhai wao😎😳🙂
 
Back
Top Bottom