Kuhusu utaratibu: CAG ataitwa bungeni baada ya kupitishwa kwa azimio. Spika, wapi mlimjadili CAG kama bunge?

Constutution of Tanzania 1977 (As Ammended from time to time)
143(6) In the discharge of his functions in accordance with the provisions of subarticles (2), (3) and (4) of this Article, the Controller and Auditor-General shall not be obliged to comply with the order or direction of any other person or Government Department, but the provisions of this subarticle shall not preclude a court from exercising jurisdiction to enquire into whether the Controller and
Auditor-General has discharged his functions in accordance with the provisions of this Constitution or not.
The Public Audit Act, 2008
13. Independence and status

The independence and status of the Office of the Controller and Auditor-General shall be as provided for under Article 143 of the
Constitution.
14. Immunity from legal proceedings
No action or other proceedings shall lie against the Controller and Auditor-General or any public officer, audit firm or expert authorized
by him for or in respect of the findings of any audit examination or inspection carried out by him in good faith in the exercise or purported exercise of powers under this Act.
Naombe kuelimishwa zaidi. Nadhani kuna CAG cheo na MTU ambaye anabeba majukumu na cheo cha CAG. Je, kwa muktadha huu Asaad ameitwa kama CAG au kama Asaad? All and all, nina uhakika, kama Prof Asaad akiamua kuusikiliza ushauri wa Zitto na wengine wengi hapa JF bila shaka PINGU zitamuhusu baada ya hapo sijui itawezakuchukuliwa hatua yoyote dhidi ya Sipika au bunge kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG anapaswa kumdharau jinga Ndugai kwa kutoenda kwenye Kamati bila hata kutoa taarifa.
Yaani hii ndio itakuwa akili sana nafikiri kuna haja ya kuanzisha mada humu ya ushauri kwa CAG asiende kuiona kamati halafu wafanye wanavyotaka wamzalilishe tuone ni kwa kiwango gani huu ujinga utaendelea nchi hii nadhani huyu supika anapelekwa pelekwa tuu yaani ni Dhaifu kabisa.
 
Nashangaa kuona Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoka na kumuita CAG kienyeji huku akijua kuwa CAG ni mamlaka yenye kinga kikatiba.

Nikukumbushe tu ndugu Ndugai umekurupuka sana. Ilibidi bunge zima limjadili CAG na kupitishwe azimio ndipo aitwe na siyo spika kutoka kienyeji na kumuita. Wapi mlijadili hilo?

Mnafanya mambo kienyeji mkiambiwa nyie ni chombo dhaifu mnapiga makelele. Jifunzeni nidhamu na utaratibu wa kiuongozi.

CAG hakukurupuka.Aliongelea yale aliyotumwa kuyafanyia kazi. Sasa nyie badala ya kufanyia kazi hayo anakuja Spika anachafua hadhi ya bunge.

Bunge letu lingekuwa na umoja basi huyu Spika angeondolewa mara moja ila ndiyo hivyo tena!
Tukiachilia mbali sheria iliyokiukwa na bunge (Nasema bunge sababu ndugai ni msemaji wa bunge) . Je CAG amefanya kosa lolote kisheria dhidi ya serikali kwa kutoa mawazo huru??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombe kuelimishwa zaidi. Nadhani kuna CAG cheo na MTU ambaye anabeba majukumu na cheo cha CAG. Je, kwa muktadha huu Asaad ameitwa kama CAG au kama Asaad? All and all, nina uhakika, kama Prof Asaad akiamua kuusikiliza ushauri wa Zitto na wengine wengi hapa JF bila shaka PINGU zitamuhusu baada ya hapo sijui itawezakuchukuliwa hatua yoyote dhidi ya Sipika au bunge kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisa katiba inampa CAG immunity katika shughuli zake za kiofisi, mambo binafsi nafikir atakuw accountable kama raia mwingine yeyote.. je udhaifu wa bunge ni moja kati ya findings zake za kiofisi?? if yes bas sheria inamlida na bunge halina mamlaka yeyote kumuhoji...
Sometimes nadhani busara inatakiwa itumike zaidi kuliko sheria pale inapowezekana.. hili ni suala la kukaa pamoja, kuelezana makosa, kukiri makosa na mwisho kujifunza kutokana na makosa hayo.. CAG akubali wito ila asilieleze bunge kazi zake anazifanya vipi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni Bunge Malay.a kila mswada unaoletwa unapita hata uwe mbaya VP!
Nashangaa kuona Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoka na kumuita CAG kienyeji huku akijua kuwa CAG ni mamlaka yenye kinga kikatiba.

Nikukumbushe tu ndugu Ndugai umekurupuka sana. Ilibidi bunge zima limjadili CAG na kupitishwe azimio ndipo aitwe na siyo spika kutoka kienyeji na kumuita. Wapi mlijadili hilo?

Mnafanya mambo kienyeji mkiambiwa nyie ni chombo dhaifu mnapiga makelele. Jifunzeni nidhamu na utaratibu wa kiuongozi.

CAG hakukurupuka.Aliongelea yale aliyotumwa kuyafanyia kazi. Sasa nyie badala ya kufanyia kazi hayo anakuja Spika anachafua hadhi ya bunge.

Bunge letu lingekuwa na umoja basi huyu Spika angeondolewa mara moja ila ndiyo hivyo tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae unapenda tu kujibu kabla ya kupitia comment

Na alikatwa kwa sababu ya udhaifu wa hao hao wadhaifu wakiongozwa na masemaji ya hilo lichama linaloongoza hii gari ya 2015 to 2020
Basi ndio maana ana hasira nao..kumbe hii ni vita ya maslahi..kwa hiyo nyoe baraza la vichaa(bavicha)mnasema aongezewe pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na vitisho vya Ndugai na huyo aliyemtuma havitafanikiwa!
Ndugai uwezo wake unaishia katika kutumia fimbo kuwatandika wapinzani wake, anayemtuma yawezekana ana uwezo mkubwa zaidi wa kutumia silaha kali zaidi dhidi ya wapinzani wake (kama risasi)
 
1546885650503.png
 
Nashangaa kuona Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoka na kumuita CAG kienyeji huku akijua kuwa CAG ni mamlaka yenye kinga kikatiba.

Nikukumbushe tu ndugu Ndugai umekurupuka sana. Ilibidi bunge zima limjadili CAG na kupitishwe azimio ndipo aitwe na siyo spika kutoka kienyeji na kumuita. Wapi mlijadili hilo?

Mnafanya mambo kienyeji mkiambiwa nyie ni chombo dhaifu mnapiga makelele. Jifunzeni nidhamu na utaratibu wa kiuongozi.

CAG hakukurupuka.Aliongelea yale aliyotumwa kuyafanyia kazi. Sasa nyie badala ya kufanyia kazi hayo anakuja Spika anachafua hadhi ya bunge.

Bunge letu lingekuwa na umoja basi huyu Spika angeondolewa mara moja ila ndiyo hivyo tena!
yule mzee huwa hakurupuki kabisa

ASSAAAADDD hakurupuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In the Constitution of URT of 1977
Section 143
(6) In the performance of his functions in accordance with the provisions of subarticles (2), (3) and (4) of this Article, the Controller and Auditor-General shall not be obliged to comply with the order or direction of any other person or Government Department, but the provisions of this subarticle shall not preclude a court from exercising jurisdiction to enquire into whether the Controller and Auditor-General has discharged his functions in accordance with the provisions of this Constitution or not.

Bila kusahau S.14 of Public Audit Act:

14: Immunity from legal proceedings
No action or other proceedings shall lie against the Controller and Auditor-General or any public officer, audit firm or expert authorized by him for or in respect of the findings of any audit examination or inspection carried out by him in good faith in the exercise or purported exercise of powers under this Act.
Tatizo lako ndiyo kama huyo CAG. Kukariri maandishi tu bila kujua wajibu na mamlaka yake kwa upana zaidi.

Immunity yake iko kwenye ku Audit tu. Yaani wakati wa kutekeleza majukumu yake aliyo ajiriwa kwa mujibu wa katiba, lakini sio katika upotofu wa nidhamu na usaliti wa nchi yake kwa mabeberu wasio tutakia mema. Mbele ya mabosi wake ana accountability.

Ni aibu kubwa sana sana kwa mtumishi wa serikali ambaye pia ni Professor kulidhalilisha Bunge na serikali ya nchi yake ugenini, kwa watu ambao anawajua kuwa wanatuona sisi sawa na masokwe.

hilo ni povu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu spika hana tofauti na wamaoandamana kuunga mkono kikokotoo ambacho ni haki yao iliyotaka kuporwa na huyohuyo wamayemshangilia
 
mods ninatanguliza maombi musiunganishe him thread na ile thread mama

Kwanza nimshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi hii kwa siku ya leo
Naombeni niulize wandugu huyu speaker na CAG wote ni watumishi WA uma hivi kulikua na Tatizo gani Lea mheshimiwa ndugai kumpigia simu CAG kumuita kwenye kamati ya maaadili ya bunge badala ya kutumia mkutano MA waandishi WA habari??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom