Kufungwa kwa namba va Vodacom isiyotumika

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Naomba mnisaidie

Nina laini ya Voda, je kama siitumii kupiga simu lakini hela inawekwa( kwenye Mpesa) na kuna balance, je ni kweli line itakatwa baada ya miezi sita?

Nashukuru.
 
Back
Top Bottom