Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Wakuu habari za mihangaiko...?,Ni kwamba nina Rafiki yangu ambaye ni Mtumishi wa Kada ya MIFUGO,Yeye yupo Wilaya ya KAKONKO mkoa wa Kigoma,sasa anaomba KUBADILISHANA na Mtu yeyote wa Kilimo/Mifugo,lkn hasa Mifugo,Mtu huyo awe tayari kuja kufanyia kazi Mkoa wa Kigoma,Wilaya ya Kakonko,Na Mtu wa Kubadilishana awe anafanyia kazi Mikoa ya Mbeya,Iringa,Rukwa na Morogoro.Kwa Mawasiliano zaidi piga simu No.0784-175740 au 0683673672.Naomba kuwasilisha.
 
Afisa kilimo njoo wilaya ya LUDEWA_NJOMBE huku nije MBOZI, CHUNYA, KYELA, BUSEKERO, MBEYA VIJINI, ILEJE. MOMBA au SUMBAWANGA.
 
Afisa kilimo njoo wilaya ya LUDEWA_NJOMBE huku nije MBOZI, CHUNYA, KYELA, BUSEKERO, RUNGWE, MBEYA VIJINI, ILEJE. MOMBA au SUMBAWANGA.
 
afisa mifugo njoo MUSOMA mm nije Kati ya wilaya yoyote MWANZA,KILIMANJARO,ARUSHA,TANGA
nawasiliano:peternsarodamasi@gmail.com
0688186261
 
pole sana ndugu yangu inaonesha barid limekuzid unataman uende popote tz ucjal utawapata umuhumu
 
MIMI AFISA KILIMO II, NATAFUTA MTU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE HANDENI TANGA MIMI NIJE IRINGA VIJIJINI, IRINGA MJINI, KILOLO, AU MUFINDI. PIGA AU BIP AU TUMA SMS KUPITIA Vodacom 0753235211, Tigo 0656959432
 
Natafuta Afisa kilimo wa kuja halmashauri ya wilaya ya simiyu mkoa mpya wa simiyu.

Wilaya ya Meatu ni moja kati ya wilaya 5 (Meatu, Maswa, Bariadi, Itilima na Busega) zinazounda mkoa mpya wa Simiyu uliyozaliwa na mkoa wa Shinyanga na sehemu ndogo ya mkoa wa Mwanza. Makao makuu ya mkoa wa Simiyu ni Bariadi.

Kuna njia mbili za kwenda Mwanza kutoka Meatu, 1. Kupitia Shinyanga mjini, 2. Kupitia Maswa Tsh10,000/. Pia Meatu inapakana na mkoa wa Arusha, Singida na Mara.
 
mimi nipo Iramba kada ya kilimo natafuta mtu wa kubadilishina nae aliopo kilolo -Iringa au sehemu yeyote iringa au mkoa wa mbeya zaid tuwasiliane no.0788905263
 
OMBI KWAKUWA TULIOMO HUMU NI WACHACHE XO NI VIZURI TUKAWASHAWISHI WENZETU WENGINE WAKAJIUNGA NA JAMII FORUM KWA kushare hii taarifa kupitia FB,whatsap kupitia magroup,twitter ili tukawa wengi kama walimu.coz hii kada tuko wachache sana
 
afisa mifugo njoo MUSOMA majita nije MWANZA , Kilimanjaro, arusha, BABATI,
0688196261
Edit Reply Report Post
 
Mimi ni afisa kilimo wilaya ya kaliua tabora, namtafuta wa kubadilishana nae me niende Arusha, kilimanjaro, tanga, manyara au morogoro
 
mimi nipo Iramba kada ya kilimo natafuta mtu wa kubadilishina nae aliopo kilolo -Iringa au sehemu yeyote iringa au mkoa wa mbeya zaid tuwasiliane no.0788905263

Kama unaweza kuja wilaya ya Ludewa mkoa wa njombe nikuunganishe na jamaa wa huku.
 
Back
Top Bottom