Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

❗️UK Has No Plans For 'Large Troop Deployment' In Ukraine

A spokesperson for Prime Minister Rishi Sunak insisted the British in-country involvement would remain at "a small number of personnel" to support Kiev's Armed Forces.

Meanwhile, the Italian Foreign Ministry also disavowed plans to send military personnel to Ukraine, because "we are not at war with Russia".
 
Dunia inabadilika bro hakuanza marekani kuwa mbabe walikuwepo wababe kibao huko nyuma.

Ukimuonea sana mtu huwa anatafuta njia za kujilinda na uonevu, miaka 25 nyuma marekani alikuwa ana uwezo wa kuivamia na kuifanya chochote nchi kama irani au china, lakini sahizi ni lazima ajiulize mara mbili.

Huyo Bush au Bush jr hata wangekuwepo miaka hii wasingekuwa na uwezo wa kuingia vitani kichwa kichwa tu mbele ya urusi
Urusi ya leo siyo USSR ile. Leo Urusi inaomba Silaha kutoka North Korea na Iran!
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Usa mbgese tu hana ubavu huo
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Kwani USA ipo nje ya NATO?
 
mwenzako ana button zake na target muhimu kwa kila nchi mfano usa kuna wneo wakiguswa wanatuliza kipira na hawako tayar kupigwa hapo
 
Kwa hiyo wewe unadhani utapona???!!!! Dunia nzima itateketea... kwa hiyo acha ushabiki na kujitoa ufahamu. NATO wamezoea kuonea nchi nyingine ila sasa wamekutana na mwamba. Wakiingiza askari tu kwa maana the boots on the ground. Moscow inatangaza vita rasmi. Na ndiyo maana leo au jana Putin amesaini decree ya Restructuring the Russian armed forces. "Districts" mpya za majeshi zimeanzishwa zikiwa na makombora ya nyuklia yakiwa yameelekezwa kwa wanaojiita wajuaji na wengine wakiwa wamejiunga hivi karibuni na NATO.
Wabongo mnavyojua kupepeta midomo? Usikute mtu Kama wewe hata Vita ya kagera hujaishuhudia. Ila unajifanya unayajua majeshi ya wakubwa wa dunia
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Wewe nae,Sasa USA na yeye si ni mwanachama wa NATO. Ukisema NATO maana yake na USA yupo ndani yake.
 
NATO hawawezi fanya hivyo,ingawa kuna nchi zimepeleka wanajeshi huko Ukraine sema hazisemi tu.
 
Uchumi wa Russia ni 1.8 trillion usd GDP, uchumi wa NATO ni zaidi ya trillion 45 usd GDP. Mambo mengine ni kufurahisha baraza tu
ndio maana ukaitwa warda, kwahiyo ukiwa na uchumi mkubwa tu unashinda vita? nikupe swal je Iran akipigana na Saudia nani atapigwa?
 
Na huo uchumi wao lakini wametoa misaada kwa Ukraine miaka miwili lakini miji inazidi kuchukuliwa mpk sasa hv wanaona hela zinaisha bila matokeo wanayotaka kupatikana na Russians ndio kama vita inaanza
Uchumi wa Russia ni 1.8 trillion usd GDP, uchumi wa NATO ni zaidi ya trillion 45 usd GDP. Mambo mengine ni kufurahisha baraza tu
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
USA hana uwezo wa kupigana na urusi bora ukraini labda wewe uwajui wamarekani vizuri .....marekani yenyewe inajua vyema kuwa haina uwezo wa kuishinda urusi kwa namna yoyote ndiyo maana wakaunda nato na kumtengenezea mrusi maadui wenye asili yake ya USSR kama kina ukrain nk
 
Back
Top Bottom