Kitu gani kitakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena Serikali iliyopo madarakani?

Ndonoman

Member
Feb 21, 2024
9
24
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena?

Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu 2024 na uchaguzi wa Serikali Kuu utakaofanyika 2025

Natumai kila mtu analo au anayo mambo yalimfurahisha katika utawala uliopo au Kumuhuzunisha katika utawala uliopo na hio kuamua aidha kuichagua ili irudi tea mamdarakai au kutokuichagua ili isirudi tena.

Hivyo basi funguka ni vitu gani vitakufanya uichague au kutokuichagua tena Serikali iliyopo madarakani?

Kumbuka naposema Serikai namaanisha Serikali za mitaa na Serikali Kuu.
 
Sitoichagua Serikali iliyopo madarakani tena kwasababu hawana mfumo imara wa uwajibishaji kwa watumishi wa Serikali.

WANALINDANA SANA KAMA NCHI YA STANZA NI YAO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena...
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Watu wajinga tu ndio wataendelea kujitokeza kupiga kura zisizoheshimiwa.

Kwa kukusaidia tu, hawako madarakani kwa maamuzi ya kura, hivyo huwezi kusema uchaguzi ndio kipimo Cha waliyotenda.
 
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena...
Nina sababu buku za kuichagua Samia ila kubwa kuliko zote

-Nimepata kazi na ndugu zangu 2 wamepata kazi baada ya mama kuifungua Nchi na kuanzia Kuajiri.

Ikumbukwe Mwendazake alizuia Ajira Toka 2016.
 
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena?

Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu 2024 na uchaguzi wa Serikali Kuu utakaofanyika 2025

Natumai kila mtu analo au anayo mambo yalimfurahisha katika utawala uliopo au Kumuhuzunisha katika utawala uliopo na hio kuamua aidha kuichagua ili irudi tea mamdarakai au kutokuichagua ili isirudi tena.

Hivyo basi funguka ni vitu gani vitakufanya uichague au kutokuichagua tena Serikali iliyopo madarakani?

Kumbuka naposema Serikai namaanisha Serikali za mitaa na Serikali Kuu.
CCM Ni majangili ya mjini anashindana kuiba
 
Pamoja na yote mazuri lakini kupambana na wezi ndani ya serikali bado sana. CAG anabainisha mara kibao ila serikali inakua kimyaaa
 
Serikali haitaki katiba MPYA kusudi itutawale badala ya kutuongoza!! Ni aibu na ajabu mmno kutumia katiba ya kikoloni kuendesha mambo ya nchi Nikinyume na Imani yangu kidini mwanamke kutawala labda kuongoza!
Kwa maana hiyo nawakataa ngazi zoote
 
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena?

Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu 2024 na uchaguzi wa Serikali Kuu utakaofanyika 2025

Natumai kila mtu analo au anayo mambo yalimfurahisha katika utawala uliopo au Kumuhuzunisha katika utawala uliopo na hio kuamua aidha kuichagua ili irudi tea mamdarakai au kutokuichagua ili isirudi tena.

Hivyo basi funguka ni vitu gani vitakufanya uichague au kutokuichagua tena Serikali iliyopo madarakani?

Kumbuka naposema Serikai namaanisha Serikali za mitaa na Serikali Kuu.
Sababu ni nyingi mno..
Kwa kifupi ccm imechoka, ipumzishwe
 
Back
Top Bottom