Kitabu Kipya: Sal Davis An Autobiography

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,142
30,493
KITABU KIPYA: SAL DAVIS AN AUTOBIOGRAPHY

Ndugu zangu kitabu cha maisha ya Sal Davis leo kimechapwa na Amazon kama mnavyoona hapo chini.

Kitabu kilichukua muda kwani si kazi nyepesi kumkalisha Sal kitako mahali pamoja kwa muda mrefu labda awe kakaa Barzani.

Kitabu hiki tulikimaliza Nyali Beach, Mombasa Mwezi wa Ramadhani 2009.
Unaweza kwa sasa kukinunua kama Soft Copy ukakisoma.

In Shaa Allah sasa Publisher anashughulika na kukitoa kitabu chenyewe yaani Hard Copy mkishike mkononi kama wengi tulivyozoea.

1690479590979.png
 
Back
Top Bottom