mtageaugustine
Member
- Jan 12, 2015
- 67
- 59
kuna sheria inaitwa Inquest Act ambayo inasema Medical Practitioner atafanya "postmoterm". Now the question is who is medical practitioner. according to Medical Practitioners And Dentist Act R.E 2002, Medical practioner in summary ni mtu anaye practice medicine or surgery. In practice, baada ya kuuliza madaktari mbalimbali na wanasheria wachache wansema daktari kuanzia mwenye cheo cha Assistant medical officer, Medical Officer na kuendelea ndo wanao ruhusiwa kufanya postmoterm. My concern is to know the exctatly law. Yaani sheria ipi inawapa power madaktari hao wenye vyeo hivyo kufanya postmoterm kwasababu hiyo Sheria ya Medical Practitioners Act iko silent haitaja madaktari wenye sifa/vyeo gani wanaruhusiwa kufanya postmoterm. So wadau ningependa kujua kama kuna sheria tofauti na hiyo au au kama kuna amendment and/ Case law inaonyesha madaktari wenye sifa zipi wanarhusiwa kufanya postmoterm. Nita shukuru sana nikipata kutoka kwenu.