WANGAMBA
Member
- Jul 21, 2022
- 64
- 95
Nimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo
1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund
-hakuna chochote cha kusimamia wala malalamiko ya kutatua kama migogoro ya wapangaji
2.NYUMBA ni uwekezaji mzuri sana kama ukipata sehemu inayokua thamani maana sio maeneo yote yanakua thamani hata wajukuu mbeleni wakapiga bingo
-migogoro ya wapangaji ni pasua kichwa