Kiongozi wa mpira asimamishwa kwa kumpatia ujauzito mchezaji

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
187
740
1715073978491.jpeg

Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na aliyekuwa Mchezaji wa Fountain Gate Princess, Peris Oside Raia wa Kenya kuwa amepewa ujauzito na mmoja kati ya Viongozi wa Timu hiyo.

Makau amesema Mchezaji huyo walishavunja nae mkataba na kumpa stahiki zake na kuhusu tuhuma za kupewa ujauzito, Fountain Gate imezipokea na kumsimamisha kazi mara mmoja Mtuhumiwa wakati uchunguzi ukiendelea na imeahidi kutoa ushirikiano kwa Taasisi husika wakati wote wa uchunguzi kwani Mtuhumiwa amekana kuhusika.

“Tunapenda ieleweke kuwa Fountain Gate Princess inapinga vikali tabia hizi na imekuwa ikishirikiana na Asasi za kiraia mbalimbali kwenye kutoa semina za mara kwa mara kwa Wachezaji na Viongozi na kuwapa nafasi Wachezaji kuongea na uongozi wa juu kabisa kama kunaonekana kuwepo dalili zozote za unyanyasaji wa kijinsia au rushwa ya aina yoyote ile”
 
Dislike ya nini sasa Mbaga Jr ? Yaani kiongozi au kocha wa timu ya wanawake awe mwanaume na halafu asiwadinye? Wanafanya zoezi au kucheza mazoezi mapaja nje, tena yamenona kweli kweli halafu kocha aishie kula kwa macho tu? Labda kama hadindishi.
 
Mi sijaelewa wakuu, mtu umempa mimba inakuwaje umemnyanyasa? Kosa hapo ni kwa Muumba tu maana wamezini
Ni sawa na Lecturer kutoka kimapenzi na mwanafunzi wake, sio mbaya kwakua wote ni watu wazima lakini kimaadili ya UTUMISHI wa uma codes of conduct zinakataa...ndo maana kuna kipengele cha kudeclare interest endapo utampenda mwanafunzi inabidi ijulikane kiofisi ili kuondoa conflict of interest hasa kwenye mambo ya masomo, mitihani na vitu vingine
Mathalan lecturer wa kiume ana mahusiano na mwanafunzi wake huenda amempata kwa mazingira ya ambayo ni ya kunyanyasa kijinsia labda kwa kumtishia kumfelisha akimkataa....lakini pia kama ni demu wake hatopenda kumwona akifeli so atamhonga marks ambazo sio haki yake hapo linaingia swala la rushwa ya ngono
Kwa mazingira ya huyo mchezaji kuna sheria zinawabana za kutokua na mahusiano ya mapenzi sehemu za kazi vinginevyo wawe ni wanandoa. Lakini pia kuna sheria zinazowabana hao mabinti kutokubeba mimba wakiwa kwenye mikataba yao ya kazi. Kubwa zaidi kimaadili ya kazi hairuhusiwi kutoka kimapenzi kazini maana hii ni chanzo cha rushwa ya ngono lazima kuna mtu ananufaika pasipo haki mfano labda binti anatoa rushwa ya ngono ili apangwe/ acheze kila mechi au kwenye mambo ya usajili yale yale tunayoyasikia kwenye timu ya ligi kuu kua mchezaji anatoa 10% kwa baadhi ya viongozi ili asajiliwe au achezeshwe kila mechi, sasa kwakua huku ni wa kike asante yao ni rushwa ya ngono ambayo imezaa mimba...kule kiumeni hakuna mimba vinginevyo na kwenyewe tungeona mengi ya kushangaza. Huo ndo mtizamo wangu, I stand to be corrected..naomba kuwasilisha
 
Dislike ya nini sasa Mbaga Jr ? Yaani kiongozi au kocha wa timu ya wanawake awe mwanaume na halafu asiwadinye? Wanafanya zoezi au kucheza mazoezi mapaja nje, tena yamenona kweli kweli halafu kocha aishie kula kwa macho tu? Labda kama hadindishi.
Una uhakika kuwa mm ndie nme-dislike comment yako.? Em angalia vzr, mm sina kawaida ya kuweka dislike
 
Inafikirisha.... ! Kama ni Kweli basi hayo ni Mambo ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe..!

Halafu huwa inanifikirisha Wale Mabinti Wanaovaa 'hijab' au wanaita 'juba' lakini chini Kapiga Bukta na Fulana...!

Sasa huwa najiuliza Kichwa kimefunikwa Lakini Mapaja na Matako yameachwa 'hemwelu hemwelu' ndo nini sasa?
Soka la Wanawake kizungumkuti kwa kweli..!
 
Ni sawa na Lecturer kutoka kimapenzi na mwanafunzi wake, sio mbaya kwakua wote ni watu wazima lakini kimaadili ya UTUMISHI wa uma codes of conduct zinakataa...ndo maana kuna kipengele cha kudeclare interest endapo utampenda mwanafunzi inabidi ijulikane kiofisi ili kuondoa conflict of interest hasa kwenye mambo ya masomo, mitihani na vitu vingine
Mathalan lecturer wa kiume ana mahusiano na mwanafunzi wake huenda amempata kwa mazingira ya ambayo ni ya kunyanyasa kijinsia labda kwa kumtishia kumfelisha akimkataa....lakini pia kama ni demu wake hatopenda kumwona akifeli so atamhonga marks ambazo sio haki yake hapo linaingia swala la rushwa ya ngono
Kwa mazingira ya huyo mchezaji kuna sheria zinawabana za kutokua na mahusiano ya mapenzi sehemu za kazi vinginevyo wawe ni wanandoa. Lakini pia kuna sheria zinazowabana hao mabinti kutokubeba mimba wakiwa kwenye mikataba yao ya kazi. Kubwa zaidi kimaadili ya kazi hairuhusiwi kutoka kimapenzi kazini maana hii ni chanzo cha rushwa ya ngono lazima kuna mtu ananufaika pasipo haki mfano labda binti anatoa rushwa ya ngono ili apangwe/ acheze kila mechi au kwenye mambo ya usajili yale yale tunayoyasikia kwenye timu ya ligi kuu kua mchezaji anatoa 10% kwa baadhi ya viongozi ili asajiliwe au achezeshwe kila mechi, sasa kwakua huku ni wa kike asante yao ni rushwa ya ngono ambayo imezaa mimba...kule kiumeni hakuna mimba vinginevyo na kwenyewe tungeona mengi ya kushangaza. Huo ndo mtizamo wangu, I stand to be corrected..naomba kuwasilisha
Umejitahidi kuelezea ila hitimisho ni kuwa soka ni mchezo wa wanaume
 
Back
Top Bottom