holypotato
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 195
- 224
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko.
Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi.
Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio tume tuu, ila kama hawatathubutu kukubali hili basi uchaguzi ni tume.
Ukweli ni kuwa tume ndio inanafasi kubwa kufanya uchaguzi uwe na uhalisia au maigizo.
Wito wangu tuwape fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi, CCM wao wauze Sera zao tuu.