Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

Nimejaribu Kupitia comment za wadau wengi naona Kuna haja serikali ishughulikie kikamilifu hili Suala la PayPal


Yawezekana itafungua fursa nyingi kwa vijana.
Acha tu mkuu, yaani payoneer wananikata dola 15 kila nikitoa, paypal ningetoa bure tu
 
Mi naona watu wa BOT hawaijui paypal na manufaa yake, inabidi watu wa juu wawapekee hili wazo
 
Kuna lolote jipya ktk hili jamani?
Mtu mwenyewe Nnauye
anaesema kutumia VPN fain 5M
dude is insane ....

jamaa anakula kiyoyozi
24hrs 7days kufungua tu paypal anaona tabu walalahoi tupate maokoto

kuruhusu elon alete WI-FI nayo hataki

C C M ni tatizo hili suala la paypal wameshamwambia
sana ila anashupaza shingo.
 
  1. Regulatory restrictions: PayPal is a financial services company and is subject to various regulatory requirements in each country where it operates. In some countries, the regulatory framework for financial services is complex and difficult to navigate, making it difficult for PayPal to obtain the necessary licenses and permissions to operate.
  2. Risk of fraud and money laundering: PayPal is obligated to comply with anti-money laundering regulations and other laws related to financial crimes. In some countries, the risk of fraud and money laundering is considered to be high, making it more difficult for PayPal to operate without running afoul of these laws
 
Kumbukeni kutuwezeshea huduma ya PayPal nchini
 
Habari za masiku tele wadau wa masuala ya uchumi wa kidigitali. Kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu suala la PayPal. Hivi hakuna kabisa mdau anayeweza kuwafikishia walengwa kilio chetu hiki?
 
Habari za masiku tele wadau wa masuala ya uchumi wa kidigitali. Kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu suala la PayPal. Hivi hakuna kabisa mdau anayeweza kuwafikishia walengwa kilio chetu hiki?
Nchi ni masikini imeliwa na majizi ila kazi kujidanganya inapigwa vita ya kiuchumi mara wazungu(mabeberu kama wanavyowaita ) ni watu wabaya.

Nafasi za juu kimaamuzi imejazwa mizee yenye mrengo wa zama za cold war ikiamini vijana kwenda nje au kufanya kazi za nje na kupokea malipo ya dola ni kuwa watapata pesa kuipindua serikali , nafasi hata zinazohitaji bongo changa na zilizo vibrant wanapewa wazee uthibitisho ni ile bodi ya TCRA iliyovunjwa yani kuna watu wana taaluma za aviation walikuwepo mle watu wako 2020+ wao wapo bado 1970-1980

Wakati mkiugulia maumivu ya Paypal pia katika pitapita mtandao nilikutana na hiyo statement ya WorldRemit
IMG_20240404_210734.jpg
 
Ajabu sana mpaka leo tunahangaika na line za Safaricom!
Hata ili tunashindwa kujifunza kwa wakenya kweli?
 
Back
Top Bottom