Kilichotokea leo ndicho ambacho Al Ahly walikuwa wakifanye kule Cairo na Dar

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,450
2,646
Matokeo yalikuwa yanawapumbaza mashabiki na kujisifia pira objective ilihali timu kupata clean sheet ni mbingu na ardhi. Mpira objective unaanzia kwanza kutoruhusu goli ovyo ovyo. Mechi dhidi ya power dynamo ilikuwa ni tahadhari ya timu ielekeapo lakini matokeo yakawapumbaza watu, kisha Al Ahly walipoonesha kuwa makini golini ndio kabisaa ikafanya timu ijione kama ni mwamba haswa. Ila mpira ulikuwa wazi tu kuwa Al Ahly walikuwa wapate magoli 3+ kwenye mechi zote mbili.

Manula kaja tu kuendeleza palipoishia kuhusu ukuta kuvuja na hapaswi kulaumiwa yeye bali hata mabeki wanastahili kulaumiwa kwasababu wachezaji wa Yanga walkuwa wanateleza tu kama kambale kwa mipasi takatifu.
 
alaaa mbona unasema ukweli bwashee.....
wanaumia sana hao ndugu zangu wanadai eti mvua imewasaliti....
 
Back
Top Bottom