Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.

Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.

Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.

Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa

Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.

Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Tuambie kuhusu Imran Kombe. Kwa maslahi ya Taifa u hv 2face the concequences
 
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.

Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.

Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.

Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa

Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.

Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Stan Katabalo alikufa natural death due to severe illness.

Nakumbuka article zake katika gazeti la mfanyakazi lakini kifo chake hakikuhusiana na masuala ya kazi yake.
 
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.

Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.

Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.

Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa

Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.

Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Kuna kituko Mwinyi alifanya nadhani wakati huu sultan angekuwa ndo mtawala wetu.
Waarabu walimshauri aachane na mambo ya kuimarisha taasisi za kukusanya kodi badala yake wao watafadhiri serikali na kutupa misaada tuache kukusanya kodi!
Awape loliondo na maeneo wanayoyataka wao watatoa pesa za ku run serikali.
Nyerere akawaka sana na kuna hotuba yake ipo mpaka leo na Mwinyi akanywea.
 
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.

Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.

Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.

Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa

Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.

Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Mwandishi nguli aliyeshinda nishani ya Nobel ya fasihi ya mwaka 1970, Alexander Solzhenitsyn, aliandika hivi.

“If only there were evil people somewhere insidiously committing evil deeds, and it were necessary only to separate them from the rest of us and destroy them. But the line dividing good and evil cuts through the heart of every human being. And who is willing to destroy a piece of his own heart?

During the life of any heart this line keeps changing place; sometimes it is squeezed one way by exuberant evil and sometimes it shifts to allow enough space for good to flourish. One and the same human being is, at various ages, under various circumstances, a totally different human being. At times he is close to being a devil, at times to sainthood. But his name doesn't change, and to that name we ascribe the whole lot, good and evil.

Socrates taught us: 'Know thyself!”

― Alexander Solzhenitsyn, The Gulag Archipelago
 
Katika mkataba wa ukodishaji wa loliondo, Mwinyi aliacha amewapa waarabu wa Loliondo time limit ya kukaa hapo.

Mkapa akaja akawaongezea Muda
Kikwete akawaongezea Muda
Magufuli akawaongezea Muda
Na sasa wapo na Samia!

Lissu amewahi kulifafanua vizuri sana hilo!
 
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.

Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.

Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.

Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa

Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.

Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Swali, mzee Mwinyi baada ya machozi alifanya nini?
 
Hakuna details kwenye Uzi wako,hujataka kueleza kifo Cha stan kilikuaje,aliuawa au!...ili tu uvipake damu ya stan viganja vya mzee mwinyi,miaka hiyo ndo tumetoka kwenye ujamaa,hata wasomi wetu hawakujua Wala kuamini katika uwekezaji, loliondo kuliuzwa au palifanyika uwekezaji!?..kabla ya loliondo hatujawahi kuingia mkataba wa miaka mia na familia ya kifalme ya uingereza kwa ardhi yetu nyanda za juu kusini!?..mmeliimba hili Kama loliondo!?
 
Nika

Kabisa , kuna siku nilimuuliza binti yangu.
Umewahi kununua gazeti?
Alinishangaa kama nimemuliza umewahi kumuona Lucifer!
Nilisikia tu huruma, kile kipindi mimi nilikuwa natenga pesa ya kununua magazeti ya Rai , kumsoma Silva Rweyemamu na Jenerali Ulimwengu na makala yake ya Binti Hidaya.

Likaja Tanzania Daima (la mwanzo lile kabla halijachakachuliwa)
Citizen pia kulikuwa na makala very eye opening!
Siku hizi hata sijui wanasoma nini aiseeh!
Binti hidaya haikuwa ya msela nondo wa uingereza makengeza bin Richard bin mabala,Aya ya ayaa Binti hidaya
 
Mm huu uzi niliuapandisha kuuzu mzee mwinyi kuuza loliondo kwa waaarabu wa OBC ottelo business cooperation
Ilifutwa na sijapewa sababu za kufutwa

Mwinyi anaongelewakuwa Ni my muuungwana sna mm Sina shida na uungqama wake kosa lake kubwa kuuza loliondo kwa waaarabu kinyemela alfu anakah kimya as if Hakuna madudu ameyafanya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni uuzani au uwekezaji!?
 
Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.

Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.

Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.

Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa

Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.

Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Kwa hiyo Mzee ruksa baada ya takribani miaka 33 anaenda kukutana stan. Miaka haicjelewi
 
Back
Top Bottom