Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Leo nimesafiri na basi la ABOOD kutoka Morogoro namba T818_____ lililoondoka saa 6.00 mchana. Mambo ya ajabu niliyoyaona na nikikuwa ninayasikia kabla ni kujaza abiria kupita kiasi, wengine hukaa pale mbele karibu na driver, wengine wanachuchumaa kwenye corridor, kama hakuna dalili za askari wanasimama. Kuulizia, nikaambiwa hao hulipa kati ya shs. 5,000.00 mpaka 8,000.00 kutoka Dar Morogoro au Morogoro Dar.
Usumbufu unaopatikana kwa abiria aliyekaa ni kuegemewa na kama itatokea ajali, ni balaa kwani katikati wamejaa abiria.
Aibu sana!
Usumbufu unaopatikana kwa abiria aliyekaa ni kuegemewa na kama itatokea ajali, ni balaa kwani katikati wamejaa abiria.
Aibu sana!